Ni Mambo gani (vituko) vya kufurahisha au kuchekesha unayafanya ukiwa chumbani mwenyewe?

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,396
6,957
Nianze na Mimi mwenyewe kuna vitu huwa nafanya nikiwa mwenyewe hadi huwa najiuliza kwa mfano akija mtu ghafla na kunikita itakuaje? Si atacheka Sana.

Nikiwa chumbani huwa napenda kujifunza lugha ya Kiingereza kwa kusoma kwa sauti, na kujaribu kuzungumza mwenyewe, cha kushangaza nikiwa mwenyewe huwa naongea kweli, ila niweke kwenye uwanja wa watu sasa, IS na THE ni nyingi sana.

Nikiwa gheto pia kama nimeleta demu, akitoka tu kwenda hata dukani Huwa nanusa CHUPI yake, alaf napandwa na nye*e KWELI.

Je, ww ukiwa mwenyewe ni vituko gani Huwa unafanya?
 
Kwa hiyo hao mademu zako huwa wanaenda dukani bila chupi?
 
Nianze na Mimi mwenyewe kuna vitu huwa nafanya nikiwa mwenyewe hadi huwa najiuliza kwa mfano akija mtu ghafla na kunikita itakuaje? Si atacheka Sana.

Nikiwa chumbani huwa napenda kujifunza lugha ya Kiingereza kwa kusoma kwa sauti, na kujaribu kuzungumza mwenyewe, cha kushangaza nikiwa mwenyewe huwa naongea kweli, ila niweke kwenye uwanja wa watu sasa, IS na THE ni nyingi sana.

Nikiwa gheto pia kama nimeleta demu, akitoka tu kwenda hata dukani Huwa nanusa CHUPI yake, alaf napandwa na nye*e KWELI.

Je, ww ukiwa mwenyewe ni vituko gani Huwa unafanya?
Du mkuu wewe hatare
 
Kuna dawa ya kuweka sawa afya ya akili inaitwa OLMAC itakusaidia sana mkuu
 
Back
Top Bottom