The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Ni kweli Chauro kitu kingine ni je unaposamehe yule unayemsamehe ni kweli anakuwa amejifunza kutokana na makosa au ndio ile kuchukuliana for granted kwamba no matter what hata nikikosea nikimuomba msamaha atanisamehe tu kwasababu ananipendausisahau kitu kimoja ubaya una mwisho finest utamsamehe huku akiendelea na mizaha yake but you know what kuna siku atalipa ujira kwa kazi anayokufanyia kwa njia yoyote ambayo wewe hautahusika.embu jiulize ukiishi miaka 50 na vinyongo au kutoa wiki moja ukasamehe maisha yakaendelea,maisha nani atakuwa anaumia?