Ni Mambo Gani unaweza kusamehe au kutokusamehe?

Kwenye mahusiano nasamehe..nimewahi na ntaendelea ila inategemea na kosa!As long as mtu hajanirobe of something irreplaceble napotezea!

Lizzy yamekuwa hayo tena hata kama mtu kukuulia mwanao utamsamehe????
 
Lizzy yamekuwa hayo tena hata kama mtu kukuulia mwanao utamsamehe????
Dena what do you suggest as alternative
  • Chukua silaha na wewe ukaue... (na watoto waliobaki kukosa mama)
  • Kuwa na kinyongo ambacho na wewe kitakufanya usumbuke sababu grudge ni mbaya sana na emotionally na mentally effect zake sio nzuri
Au Try to let it go...., na uhakikishe kwamba huyu mtu anakwenda au anawekwa sehemu ambayo kuna uhakika kwamba hatatoka (life imprisonment) this will ensure kwamba hawezi kumdhuru mtu mwingine tena...
 
Hasira ikishapanda busara hupotea labda hiyo unayosema iwe si hasira ya karibu na huyo mtu hayupo akiwepo naua yeye na mimi pia

Ila kinyongo nacho ndo huleta magonjwa ya moyo. Kama makosa ya kawaida ya kucheat unaona yanafaa msamehe lakini labda mie nisijue nitakusamehe lakini sitakusahau na nitakumbushia mpaka kufa kwangu.

Pole kama nakukwaza mkuu
 
Hapana Mkuu sikwaziki (there is nothing i like kama a debate about different point of views)

Kama mtu akiwa karibu na kwa hasira unaweza ukaua..., na mahakamani unaweza uka-plead not guilty by reason of insanity..., kwamba kwa zile hasira haukuweza kuvumilia na akili ilikuruka hadi ukafanya jambo bila kujua...., lakini hapa tunaongelea scenario ambayo mtu amekimbia..., wewe kumtafuta ukamuua na wewe ukajiua ni nani mwenye faida?? (je is it worth it usimwone tena mpenzi wako au tabasamu za watoto wako kwa sababu ya kumuua mtu ambae haistaili hata kupoteza nguvu zako?) Pili kuna watu wanasema ukimuua mtu ni kama umempunguzia matatizo..., its a short cut of not facing the counceqeunces... Kwahiyo huenda ungemuacha akaozea jela ingekuwa ni pigo tosha kuliko kumuua? au....
 
Kwa category ulizotoa aah msamaha itakua kazi kweli...wengine tukikatwa tu jicho baya msamaha second semester mwishoni!
 
Nimejitambulisha tayari.

Wakubwa shikaamooni wadogo habari zenu.

Naomba nichangie hii mada maana naona imenigusa sana.

Kwanza kusamehe ni kitu kigumu sana na inahitaji moyo wa uvumilivu.

Kwa wachache sana wanaweza kuvumilia na kusamehe.
Lakini kitendo cha mwenzako kukudanganya ni kibaya sana na kigumu mnooo.
Mimi kwa upande wangu huwa sisamehe(Sijaoa) So nikigundua tu demu kanicheat pale pale ndo mwisho.

Asante sana
 
Hua napata taabu sana nikiona watu walioishi mathalani miaka hamsini kwenye ndoa na bado wanapendana/wanavumiliana...hayo ni ya kwenye ndoa! Binafsi juzi naulizwa jambo fulani kiofisi ambalo km ningepinda maelezo ningejiweka pabaya...nikajibu nilivyopaswa ambapo majibu yangu hayakumfurahisha ndugu yangu mmoja ambaye ndo alikua victim wa circumstance yenyewe...badae alinipigia simu kwa ghadhabu kua "wewe ni ndugu yangu ila navunja undugu...." nikamjibu "kwani undugu una maana gani? Well huo ni mfano mdogo tu ambao kujishusha inakua kazi sasa ya kubakana,kuuliana watoto kuna muamana kweli....labda kwa wengine!
 
Si kwa nguvu wala uwezo bali ni kwa Roho wa Mungu, Zekaria 4:6
Kuna mambo mengine hakika hatuwezi bila kuwezeshwa na Roho wa Mungu,
Tupo duniani ni kweli, lakini mambo tunayoyaona kwa macho ni matokeo ya mambo yaliopo katika ulimwengu wa Roho.
Liwe jambo jema au baya, jema likiwa linasimamiwa na Roho wa Mungu, baya likiwa linasimamiwa na roho ya shetani.
Na ndio maana tunatakiwa kuomba kila wakati.

Tunaishi na wanadamu na sisi sote kama wanadamu tunakosea, kipimo cha kosa ni vile lilivyomumiza mtu,
Mfano we unaweza kuniambia "mjinga wewe" nikaumia kupita kiasi, huenda nikapoteza hata hali ya kujiamini
kutokana na neno dogo tu hilo.

Kusamehe ni lazima, kwa ajili ya afya ya roho yako, mwili wako na nafsi yako.
Kweli ni ngumu, lakini ni rahisi ikiwa tutamkimbilia Mungu atupe neema ya kuvumilia.

Sina maana hata kama ni mtu ambaye unaweza au inabidi utengane nae kwa sababu ya Amani yako, usifanye hivo
kwa sababu ya msamaha hapana, Kwa sababu kuna hili neno "Marafiki hawawezi kwenda njia moja kama wasipopatana"
Ila Kinyongo, Kisasi sio kizuri. Kinakuumiza wewe mwenyewe na jamii yako.

Najua inavyouma na ilivyongumu, lakini tukitaka kubarikiwa ni lazima kusamehe, na kuwapenda waliotutesa na kutuumiza.
Mimi binafsi nilishapitia katika wakati mgumu wa kumsamehe mtu, ningekuwa na uwezo na kama sio neema ya Mungu ningeweza,
kutafuta wahuni wammalize huyo mtu, nilikuwa naona afadhali asiwepo kwenye huu uso wa dunia bora afe tu.

Lakini wakati ulipofika Mungu aliniwezesha, nikafikiria, dunia yenyewe hii sote tunapita, sawa ndio imetokea hivi, lakini Mungu si anaona,
na ajua ukweli wa moyo wangu, basi, "KISASI NI JUU BWANA"
Nikakiri kwa kinywa changu nimesamehe. Na ninayo furaha na amani, na maisha yanaendelea.

Hata nikikumbuka, huwa namwambia Mungu, Wewe ndiwe mtetezi wangu uliye hai NITETEE amani yangu idumu.

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu, Wafilipi 4:13
 
Maneno yako hunibariki,na kwa minajili hiyo nimekushukuru na Mungu azidi kukubariki uendelee kutubariki na sie....:coffee:
 
Horseshoe kwanini unapata tabu?Huamini?Well labda hawajafanyiana makosa yasiyo sameheka na pia wamejifunza kutokana na makosa ya mwanzo kwahiyo hayajirudii rudii!Tofauti na watu wengine ambao hua wanatumia misamaha wanayopewa vibaya kwa kurudia kosa mara mia kidogo!
 
Maneno yako hunibariki,na kwa minajili hiyo nimekushukuru na Mungu azidi kukubariki uendelee kutubariki na sie....:coffee:

Amen Michelle ubarikiwe na wewe pia mpendwa.
Tupo pamoja.
 
Forgiveness is not something we have to do, but something we must allow to flow through us. When we step away from the consciousness of our human nature, and allow the divine or God's grace to express through us, to forgive through us, we can at that point, feel the radiant and warm rays of the flow of divine love dissolving all hurt, all bitterness, all sense of injustice. We become aware that we are free and we can project that love outward into our world.
Forgiveness helps you move forward. No one benefits from forgiveness more than the one who forgives! Give yourself the gift of forgiveness. The very word forgiveness is built on the root word give. Forgiveness releases your partner from your criticism and also releases you from being imprisoned by your own negative judgments. It is not surrender, but a conscious decision to cease to harbor resentment. In affect, it takes the poison our of your body. It cleanses your system of the poison that will surely fester and cause illness and continued misery if not released. You cannot take the poison and expect someone else to die. They will go on with their life and you will be the only one to continue to suffer.
 
I ca feel ur emotion, lakini usiposamehe unadhania utakuwa na amani?
kila kitu kinsameheka hapa duniani ila sio kila kitu kina sahaulika ,
Hata Yesu angelifikiria madhambi tuliyonayo asingekuja kufa kwa ajili yetu yote hayo alisamehe kwanza ndio akaja...
Nimemaanisha mtu aliyeua mtoto wako au mtu wako yeyote wa karibu kwa kukusudia!
 
Hi Lizzy

Mi naamini kazi kubwa ni kwa yule anae omba msamaha. Nisamehe ina maana 3:
1. Nasikitika sana kwa kile nilicho kifanya (bila kujaribu kujitetea)
2. Naomba unisamehe ingawa sio rahisi, na nitatengeneza, kadiri iwezekanavyo, kila kitu kilicho tokea kufatana na kosa langu
3. Naapa sito rudi tena.
Kama vitatu hivyo vinaonekana wazi wakati mtu anaomba msamaha, basi nadhani inakua rahisi kwa yule alie kosewa kusamehe. na asipo samehe mtu ane onyesha alama hizi, basi makosa yanalala kwake.
 
Back
Top Bottom