Nilidhani fungate kwa kidhungu ndo honeymoon?
Vp kwa sisi tulioanzana zamani hadi tukazaa katoto ka kiume, kuna haja ya hiyo ASALIMWEZI?
Mambo ya kubambanisha vikojoleo.
si poa kabisa, kwenda ku-do wakati dingi,maza na jamii yote kujua dada flani leo anapasuliwa mayai yakutosha!
Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani naamini kuna wengi humu mlipitia hiyo stage! So i hope mtatufahamisha kwa undani zaidi! Karibuni sana!
Matusi. Lol.
Mambo ya kubambanisha vikojoleo.
labda haya mawili ya mwisho ila hayo ya kwanza..mh mh nakataa...inamaana mpaka wanafunga ndoa walikuwa hawajui nini wanafata katika ndoa mpaka ndo waanze kupanga wakiwa honeymoon...!!?Honeymoon ilikusudiwa yafuatayo;
- Wanandoa wapate muda wa kupumzika na kujuana vizuri.
- Wanandoa wapate muda wa kupanga maisha yao na kupeana majukumu katika familia mpya wanayoianzisha.
- Wanafamilia ya mume kujihakikishia kuwa mtoto wa kwanza ni wao(baadhi ya makabila honeymoon miezi hadi sita).
- Kufurahia ndoa yao mpya.
You must be kiddin me....Honeymoon ilikusudiwa yafuatayo;
- Wanandoa wapate muda wa kupumzika na kujuana vizuri.
- Wanandoa wapate muda wa kupanga maisha yao na kupeana majukumu katika familia mpya wanayoianzisha.
- Wanafamilia ya mume kujihakikishia kuwa mtoto wa kwanza ni wao(baadhi ya makabila honeymoon miezi hadi sita).
- Kufurahia ndoa yao mpya.
Hata mimi nashangaalabda haya mawili ya mwisho ila hayo ya kwanza..mh mh nakataa...inamaana mpaka wanafunga ndoa walikuwa hawajui nini wanafata katika ndoa mpaka ndo waanze kupanga wakiwa honeymoon...!!?