Hahaha my shem Paka Mweusi me ntabaki kuwa shem wako tu
tehetehetehete nadhani unawafagilia wasiku ban lol
Flora bhana,
Ban japo inauma ila ndo kama Maji,
usipoyaoga,utayanywa.
aaahaa ngoja na mie nilianzishe nipate japo moja
hivi f foxy alipata life ban au mbona simuoni jamanii
Shosti ukiteleza tu kwa St Paka,
My Shem akitoka kifungoni namueleza yooote..!!!
Huu sasa tuuite wivu au umbea..??
Hahaha my shem Paka Mweusi me ntabaki kuwa shem wako tu
Shosti ukiteleza tu kwa St Paka,
My Shem akitoka kifungoni namueleza yooote..!!!
Hivi huu mwaka umebakiza miezi mingapi vile..??