Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

Mentor nimekuja kaka mkubwa shemeji yangu wa ukweli kwa mdogo wangu kipenzi Catherine, usipate shida kunimention jina ni rahisi sana hili hata huyu mdogo wangu platozoom anajua na huwa Asprin mumewe cacico ananimention kwa wepesi zaid. hebu waulize wao wanafanyaje?

Mume wangu Kaizer my loving swtlo huwa yeye anajua hata kuliita kimahaba tuwapo faraghani hahahha, unaijua sauti ya kiume ile yenyewe basi Kaizer huwa aikiitumia kuniita jaman napagawaje sasa?????
 
Last edited by a moderator:

nisaidie basi namimi niweze kukumention kirahisi unajua samtymz natumia simu ndo kabisaaaa nashindwa kukumention atlist kwa computer huwa nakopi na kupesti..
 
sasa huyo Gifson ndo nani wako???

kasiko??? mbona majina yenu hayana maana!???

sasa wewe mbona umekuwa kama mwangu wa miaka 6 ambaye akitaka kitu basi anapita njia ndefu sana ili kukufake umpatie? yaaani Mentor ungesema tu naomba kujua maana ya jina lako ama la kasiko. majina yetu yamebeba majina ya created family members wote kuanzia waume hadi watoto including sisi wenyewe.
 
angekuwa na id nyingine tungejua tu haihitaji kuwa
na phd kujua hii post ni ya faiza foxy hhaaaaaa
Hata mie nahs hvo atakuwa amelambwa la Maisha.
Ila lazima aje na ID ingine,
c unajua tena?
We lianzishe bhana, c unajua tena.
 
sasa wewe mbona umekuwa kama mwangu wa miaka 6 ambaye akitaka kitu basi anapita njia ndefu sana ili kukufake umpatie? yaaani Mentor ungesema tu naomba kujua maana ya jina lako ama la kasiko. majina yetu yamebeba majina ya created family members wote kuanzia waume hadi watoto including sisi wenyewe.

hivyoeee.....:baby:
 
Back
Top Bottom