Date za kipendwa hizo..Raha sana
Mkuu jamaa anapigia hesabu mechi tu!![]()
Mshikaji anapiga mtindi wake halafu mchuchu kwa pembeni anafakamia Ubwabwa.....!
Teh teh..Wapendwa hatugongi biereUlitaka savannah na mchemsho wa kuku wewe ukigonga zako micastle lager
Sita sahau khana khazana![]()
Mshikaji anapiga mtindi wake halafu mchuchu kwa pembeni anafakamia Ubwabwa.....!