Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

Nenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru

1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi

2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi

3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.

4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi

5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.

6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine

Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Shukrani sana kiongozi 🙏
 
wwe jamaa unayajua vizuri Sana haya Mabus Ila hata Mimi naikubali Sana DVA nilipanda mwezi 4 hakika huyo Dereva anaovetake kama anachezea play station, nashangaa watu wasifia akina sauli kumbe hawajui kuna machizi wapo barabara ya Mwanza
 
Nenda panda kati ya hizi chuma utakuja kunishukuru

1.DRG 554 (la petrol) Ally's star (dereva juma na Wadiki) - 22:15 utakua nyegezi

2. DRR 754 (higher la mineso) Dar lux (dereva mtoto Chris na imma kiduku) - around 22:10-30 utakua nyegezi

3. DVA 964 allys star dereva Ginimbi - Hii chuma imebakiza kupaa tu.

4. DUP 897 Tanzanite ya Father Goliama - saa name kasoro mpaka saa nne na nusu upo nyegezi

5. DSE (JESHI) na ile Most wanted ally's star bus - kidogo zimepoa ila za moto sna hutachelewa.

6. DVA 963 & 965 - hili balaa lingine

Usikubali kupanda chuma yeyote ambayo sijaitaja apo , maana utakuja kulalamika mmefika nyegezi saa 8 usiku.
Huu ni ujinga mtupu , high speed kills.
 
964 DVA 🍊🍊 a.k.a Night Hunter ya Ginimbi imekula kizinga Chalinze jana usiku😢😢😢
 
Back
Top Bottom