MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Unajuaje kama havipo?
Unajuaje kama havipo?
Hata mabeberu hawaonyeshi sio? 😂 😂 😂Mkuu hiyo ni mbinu inayotumiwa, huwa hatuna utaratibu wa kuonesha namna ambavyo tuna advanced equipments lakini hii haimaanishi kwamba hatuna vipo sana. Lakini kama nilivyotangulia kusema kuwa ni moja tu kati mbinu tunayoitumia ili kumuweka adui kwenye giza anapotaka kutufanyia ubaya...
Mkuu sijui hii laana tuliitoa wapiHalafu wakawaamini wazungu wawasaidie kupambana !!
Hawajiulizi tangu somalia ianze kusaidiwa na USA je al shabaab wameisha??
Tangu france ianze kuisaidia mali,bukina faso,niger AL QAIDA wameisha??
Tangu NIGERIA ianze kusaidiwa na western je boko haramu wamewaweza???
Kuna shida pahala kwenye kichwa cha muafrica
Ushauri wako ni mzuri. Maswala ya usalama yana usiri mwingi. That was my point. Wewe unaweza kusubiri camera barabarani kumbe wenzako wameziweka kwenye mabenki, petrol station ukadhani ni za kuzuia majambazi kumbe zina function nyingine.Mkuu mtaa gani huko mtwara una camera za barabarani za security au za facial recognition!!??
Najua labda hukuelewa!!lntafafanua
Survilance system
-ni mfumo wa utambuzi wa watu ,mgari au vyovyote vinavyootoka na kuingia ua kupita barabaranii au mtaaani
Unajumuisha computers ammbazo zinaunganishwa naa camera za kutambua sura tofauti tofaut zikilinganisha na data base iliyopo
-hiyo inamaana kama kuna muhalifu
Ni rahisi kumkamata kama yupo mitaa hiyo zitaonesha akitembelea sokoni,mtaani au barabarani
—-so huwezi fichama kwene huu mfumo
WaTZ tumezoea kuishi kishikaji Sana na pia tinajiziuka Sana!Wamekusikia ngoja tuone...
unaweza kuwa sawa.Habari
Wote tunajua kuwa kwasasa jirani zetu wanavohangaishwa na kuchinjwa n kundi la ugaidi msumbiji!!
Siku chache lilifanya fanya uhalifu tz mtwara na baadae kuzimwa!!
Lakini kama tujuavyo bado kundi hilo linakua kwa kasi na serikali imeshashindwa kulidhibiti!!
Kumbuka haya makundi yanakua funded na foreign nations n ni ngumu kukabiliana sana na haya makundi
Suluhisho pekee la kukabiliana na haya makundi ni
ADVANCED ARTIFICIAL INTELLIGENCE “/A.I
hapa tunaongelea vitu kama
-survilance system cameras on street,public places,gateways za ukaguzi n.k
-IDs attached na Biometric signature au DNA
hapo hata kama kuna wasaliti kwenye serikali kwenye kupambana na ugaidi hawachomoki..
Na
hapa ndpo china ilifanikiwa kushinda ugaidi uliokua unaisumbua miaka yote!!
Kwan kwenye hii technology hata western wanashindwa kupenyeza nguvu yao wamedhibitiwa!!
Mind you
-wale wakutumiwa mapesa mengi kukamilisha agenda za wazungu nao wanadhibitiwa kupitia uchunguzi
~~~~~~~~~~~~
Sioni jitihada za kitechnologia tunazofanya za kupambana na uhalifu huu wa nchi majiran!!
Maana modern problems doesnt need ordinary solutions
Tujuze!!
Mkuu kila nchi ina utaratibu wake na ndiyo maana hapo kwenye comment sija-generalize. Kama mabeberu wanaonesha huo ni utaratibu wao na sisi tuna utaratibu wetu..Hata mabeberu hawaonyeshi sio? 😂 😂 😂
Toka niijue tanzania yangu vizuri kidigo sina wasi yaliyofanyika kibiti mungu anajua tz tuko salama sana
Kama jeshi letu lilifanikiwa kufanikisha uporaji wa koroshow kule mtwara litashindwa kweli kupambana na mgambo wa kimakonde