Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
Kwa sababu wewe ni hai leo ndo unapata kiburi cha uzima kusema hayo
 
Nchi yoyote ambayo haina utayari wa matukio ya kushtukiza (Unforseen events), basi tambua kuwa kuna shida kubwa sana kwenye hiyo nchi.

Yangu ni hayo Tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Huko America wanapataga majanga na sometime huwalazimu kukaa kimya ndiyo itakuwa Tanzania yenu changa!
 
Kwa sababu wewe ni hai leo ndo unapata kiburi cha uzima kusema hayo
Watu wapo ndani ya Tope na wapo humo kwa zaidi ya saa 48,what would you do?, hapo ni kuzitoa Maiti kwa staha na heshima na kuzisitiri. RIPs all, poleni wafiwa.
 
Watu wapo ndani ya Tope na wapo humo kwa zaidi ya saa 48,what would you do?, hapo ni kuzitoa Maiti kwa staha na heshima na kuzisitiri. RIPs all, poleni wafiwa.
Kwahiyo kama watu wako ndani ya tope kwa masaa 48 waokoaji wanapaswa kwenda kupiga selfie kwenye mapaa ya nyumba?
 
Bisha kwa hoja, acha maneno ya khanga.

Mdau kaandika matukio na jinsi uokozi ulivyokuwa.

ACHA POROJO KWENYE MAMBO YA MSINGI KWA TAIFA.


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Zingatia matukio yametokea katika SCENERIO TOFAUTI HAYAFANANI..... lingetokea kama la precious tungewatukana.
 
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁
Nashauri kuliko wauze sura hapo eneo la tukio na hawawezi kuopoa miili kutokana na maelezo yako, warudi kwenye maeneo Yao ya kuchukulia rushwa, wasubiri Hadi siku pakikauka wakatoe miili kwa mazishi.
 
Serikali haina utayali kwenye maafa hata kidogo na wameendelea kutokua tayali tangu zamani hadi sasa, licha ya kupata funzo kwenye matukio na ajali mbali mbali lakini hadi sasa bado kikosi cha uokoaji hakina tofauti na bongo movie, hawana vifaa vya kisasa na vya kutosha kufanya uokoaji lakini pia nina wasiwasi na mafunzo yao kutokana na mambo wanayofanya kwenye uokoaji, lakini pia hawana utayali tukio linatokea alafu wanafika masaa mengi Sana baadae

Wakulaumiwa ni serikali kwa sababu wao ndio wanapaswa kuandaa vijana na vifaa vya kisasa na vya kutosha kwa ajili ya lolote litakalo tokea sehemu yoyote ndani ya Tanzania, kama wanaweza kuwapa ma V8 ya gharama viongozi wao basi hawashindwi kununua vifaa na kutengeneza vijana wenye uwezo mkubwa, waache hizi habari za kwenda eneo la tukio na ma camera mengi na kujitia unafki wa kusikitishwa na kilicho tokea
 
Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.

2011 meli ya Spice Island ilipata ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.

2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kwamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.

Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.

Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.

View attachment 2833117
Wewe unatukuza na kusherehekea maafa kisisaa kututukana wana Manyara. Haya ni maafa yanakupata usiotegemea la sivyo ungejiandaa. Hakika huipendi Nji hii, endelea tu kutafuta tumehuru muombe shangazi awe Chaiperson askofuatupele mwamasika awe makamo wake genderbalance.
 
Chadomo kama kawa kama dawa,hawana jema, wao ndio wanajiona wanaakili kweli pumbavu zao,
Uokoaji wa tukio la namna hii siyo sawa na tukio la baharini au moto, na waokoaji wakifuata maneno ya papara wanaweza nao kuzama kwenye Tope, majanga yakawa makubwa zaidi. Tathimini ni muhimu sana kwa aina ya tukio.
Kwani weye ndiye uliyekuwa darin?hao unaowataja wamehusikaje na kupiga kwako selfie 🤪
 
Back
Top Bottom