Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

daah nmeingia na 23 nmetoka na 26 sahiz nina 28 mtaa interview zote ndoige ya umri ,,,,, yeyote anayehitaj ulinzi anitafute nipo hapa kijana mtiifu
Nimesoma hapa nimekusikitikia mkuu. Ila achana na mambo ya jeshi yasahau kabisa pambana na mambo mengine mtaani anza kidogo kidogo kuwa busy utapiga hatua.

Usilazimishe kufanikiwa kwa mlango mmoja. Mungu hajakuumba kwamba ukikosa fursa moja ndio basi tena mpaka kifo. Jifunze kukata tamaa na kusahau, utapata muda wa kujihusisha na mambo mengine mapema.
 
Si nasikiaga la MtiipiD linachukua walioko makambini wanajitolea cc mujibu sijui inakuaje
huyo alokwambia kapanga kukubwaga tu…

Wanachukuliwa hadi wasieonda Jax, itakuwa wewe mujibu..!? 😀

Tafuta hela, alafu tafuta connection uone kama mpaka mwakani haujavaa bakabaka…. 😀
 
Back
Top Bottom