Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Kama ndivyo basi kila la kheri maana kama kuna wizara ambayo walioko hawajui wanafanya nini ni hii ya nishati na madini. Tatizo la umeme halina majibu miaka nenda miaka rudi, tatizo la madini nalo halina majibu. Sasa jamaa wanakazi gani wizarani kama hakuna kitu kinaenda mpaka mwisho kwa mafanikio?David Jairo kupelekwa Nishati na Madini mi ndio naona move of the day. Jamaa alikuwepo wizara ile enzi za IPTL na JK akiwa waziri...Baadae akapotea, alipokuja kuibuka ni katibu wa rais, JK alipochukua nchi, now anamrudisha kulekule Nishati na Madini.
Inawezekana amepelekwa kwa kazi maalum, maana huyu jamaa ni very daring na on the other side ni msaidizi mwaminifu wa JK. Sikilizieni maamuzi bold sasa from Wizara ya Nishati na Madini...Mzee Mwakapugi walikua wanampelekesha tu mzee wa watu, hana makuu, alichokua anakitaka ni kustaafu salama na kakipata.