DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Kila nikikuona Kasie napata mfadhaikoPoa Kunta Kinte
Makosa uliyafanya wwe toka mwanzo,kwa kuwaweka Wakwe zako kwenye budget yako ya kila mwezi,sawa siyo mbaya labda kipindi cha nyuma hali yako kifedha ilikua poa! Sasa kama hali ya kifedha imebdalika wwe ongea na Wife wako hali halisi,na wao watajiongoza! Ila shida itakua Kama Mke wako ndiyo first born kwao hapo kazi unayo, maana yeye ndiyo Mara nyingi anahesabiwa Kama breadwinner wa familia!!Jamani swali langu hivi ni lazima kutuma pesa ukweni?
Hivi unapokua umeoa na tayari umeshalipa mahali umekabidhiwa mke na mmeanzisha Maisha yako kuna umuhimu wowote wa kuwatumia pesa wazazi wa mwanamke kila mwisho wa mwezi?
Japo ulazima upo kwenye zawadi pale ambapo unaenda kuwatembelea.
Hakuna ulazima ila ukioa katika familia za kishamba na zenye Uswahili ni mateso tutafute wanawake waliolelewa katika familia zenye misingi ya dini ili kuepusha usumbufu na taabu.Jamani swali langu hivi ni lazima kutuma pesa ukweni?
Hivi unapokua umeoa na tayari umeshalipa mahali umekabidhiwa mke na mmeanzisha Maisha yako kuna umuhimu wowote wa kuwatumia pesa wazazi wa mwanamke kila mwisho wa mwezi?
Japo ulazima upo kwenye zawadi pale ambapo unaenda kuwatembelea.
Kila nikikuona Kasie napata mfadhaiko
Unatuma pesa za nini ukweni? Una mkataba nao wa biashara? Kama hali inaruhusu unaweza kuwatumia mara moja moja sio mbaya kuwaonyesha wakwe zako kwamba unawajali, lakini sio lazima especially kama nyie wenyewe hamjaweza kujisimamia, angalieni kwanza maisha yenuJamani swali langu hivi ni lazima kutuma pesa ukweni?