Ni lazima kutuma pesa ukweni?

Ni lazima kutuma pesa ukweni?

Unatuma pesa za nini ukweni? Una mkataba nao wa biashara? Kama hali inaruhusu unaweza kuwatumia mara moja moja sio mbaya kuwaonyesha wakwe zako kwamba unawajali, lakini sio lazima especially kama nyie wenyewe hamjaweza kujisimamia, angalieni kwanza maisha yenu
Ebu jipige kifua ngumi huku ukijipongeza jinsi ulivyo wife material we jimama, yani Me tumeisha kwakweli na kujaa wavulana pekee kwa karne hii ya 21.
 
Mbona wewe demu ilikuwajeukaoa? Acha kuvuruga uzi mimi nipo siti ya mbele nachungulia mawazo yachagiaji.
 
Acha nidandie treni kwa mbele.

Ukishaoa unaishi maisha yako kwa namna utayokubaliana na mwenzako huku mkochukua tahadhari ya jamii inayowazunguka namna wanavyoishi mnaweza jikuta nanyi mnaishi kama wao japo si sheria.

Kama baba yako yupo, muulize yeye alikuwa anapeleka pesa ukweni?
Kama una kaka wakubwa wailize pia. Kama una dada zako wameolewa muulize mama au baba, shemeji yako anawapa mshiko kila mwezi?

Kuna wanaopeleka matumizi (pesa na vitu) ukweni kila mwezi kwa ridhaa yao kama shukrani kwa kile mkewe anachomfanyia (Mahaba, utamu, mapishi, kujua kulea watoto na ndugu wa mume, anajua bajeti yaani sio mbahili sio mfujaji wa hela, sio mchoyo, hana gubu n.k.)

Hainaga fomula ukikuta unakerwaaa hata ukipigiwa simu na mkwe unajiskia kutukana 😂😂

Nimeteremka kwenye treni nililodandia.

Alamsiki.
Aaagh uzani wa mama Kasie huo!

Vp hawajambo hapo Regency Karibu na njia panda ya Kwenda NEMC jirani na Maduka Mawili Kwa Msambaa Mbele kidogo ya nyumbani kwa kina mh.Adam Malima?
 
Aaagh uzani wa mama Kasie huo!

Vp hawajambo hapo Regency Karibu na njia panda ya Kwenda NEMC jirani na Maduka Mawili Kwa Msambaa Mbele kidogo ya nyumbani kwa kina mh.Adam Malima?

Aahahahahahaahahaaa looh! sio kwa utambulisho huo, karibu kesho saa nne hadi tano asubuhi, nikuandalie nini mgeni??!
 
Muhimu ni kuisikiliza nafsi yako tu, isiwe unatuma ela huku moyo unakuungua kama moto wa kifuu.Kama huna amani unapotoa msaada wowote iwe kwa wakwe au kwa mtu yoyote, usitoe kwa sababu unapingana na nafsi yako.
 
Wewe angalia moyo wako unasemaje kama unaona kuwatumia pesa ni sawa basi watumie mana akili za kuambiwa changanya na zako mana inategemea na mahusiano uliyoweka baina yako na wakwe zako
 
Acha nidandie treni kwa mbele.

Ukishaoa unaishi maisha yako kwa namna utayokubaliana na mwenzako huku mkochukua tahadhari ya jamii inayowazunguka namna wanavyoishi mnaweza jikuta nanyi mnaishi kama wao japo si sheria.

Kama baba yako yupo, muulize yeye alikuwa anapeleka pesa ukweni?
Kama una kaka wakubwa wailize pia. Kama una dada zako wameolewa muulize mama au baba, shemeji yako anawapa mshiko kila mwezi?

Kuna wanaopeleka matumizi (pesa na vitu) ukweni kila mwezi kwa ridhaa yao kama shukrani kwa kile mkewe anachomfanyia (Mahaba, utamu, mapishi, kujua kulea watoto na ndugu wa mume, anajua bajeti yaani sio mbahili sio mfujaji wa hela, sio mchoyo, hana gubu n.k.)

Hainaga fomula ukikuta unakerwaaa hata ukipigiwa simu na mkwe unajiskia kutukana

Nimeteremka kwenye treni nililodandia.

Alamsiki.
Hizo sababu ulizoziweka kwenye brackets zimenifurahisha sana.

Tuseme sasa, sababu hizo hizo ukiacha kwa wazazi, ndugu na tegemezi ndiyo hutufanya tuhonge sana siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aahahahahahaahahaaa looh! sio kwa utambulisho huo, karibu kesho saa nne hadi tano asubuhi, nikuandalie nini mgeni??!

Ha Ha Ha Yaani Heri Tupu kwangu aisee shukran kwa ukaribisho Mujarabu ila ninayaogopa majumba hayo Yaliyo nyuma ya LILE JIUKUTA reeefuuu mbele ya makaburi ya kimong'onyole😂😂
 
Hizo sababu ulizoziweka kwenye brackets zimenifurahisha sana.

Tuseme sasa, sababu hizo hizo ukiacha kwa wazazi, ndugu na tegemezi ndiyo hutufanya tuhonge sana siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Haswaaa, aktchuali wanawake tunaweza kula pesa ya mwanaume kilaini tuu bila kuombaomba.
Ila ni hadi mwanaume awe gentleman na hao wengine maumivu tuu😅
 
Si lazima lakini utu na ubinaadamu uchukue nafasi. Wale pia ni wazazi wako. Kama unampenda mkeo utapenda pia kuona furaha yake. Sidhani mke kama atafurahia kula kuku ili hali wazazi wake wanateseka na cabbage kila siku.
 
Aahahahahaa uonavyo nafsini mwako ndivyo upokeavyo....
😁😁😁Ok Nitakuarifu siku ya kuja ukiwa free na baada ya kumaliza hz Kampeni zetu za Kisayansi zinazoonyesha tutampa 5 Tena kwa kishindo,aaamin

Thanks 🙏🙏
 
Haswaaa, aktchuali wanawake tunaweza kula pesa ya mwanaume kilaini tuu bila kuombaomba.
Ila ni hadi mwanaume awe gentleman na hao wengine maumivu tuu😅
Haswaa akiwa Gentleman....

Yaani Mwanaume unampenda mkeo,halafu usitake kumfanya awe na furaha?!!!!
Looh itakuwa ni sababu ya mtu kuwa KAPUKU ama ROHO KAVU bahili😁😁
 
Haswaa akiwa Gentleman....

Yaani Mwanaume unampenda mkeo,halafu usitake kumfanya awe na furaha?!!!!
Looh itakuwa ni sababu ya mtu kuwa KAPUKU ama ROHO KAVU bahili😁😁

Gentlemen are always my favorites, my best friends, my relatives.

Cheers.
 
Back
Top Bottom