Ni lazima kutuma pesa ukweni?

Kutoa ni moyo na si lazima..
Kama kusaidia to kwa moyo was kupenda pasi kulazimishwa na mtuna so lazima kutoa Kila mwezi..
Ni mipangilio yenu kutoa kwa wakati gani.nakatika kutoa inapendeza mkitoa kwa pande zote 2 ili kuleta upendo zaidi.lakini pia itadipend uwezo au kipato chenu.,kutoa kulingana na kipato chenu.na katika kutoa haijalishi wazazi wana uwezo gani hata wangekuwa matajiri bado nyie mna nafasi yenu.

Kutoa ni kuonyesha kujali .
 
Back
Top Bottom