Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,597
Huyo babu hakuwa na hiyo hela
Hivi kwenye avatar yako ndio mfalme Suleiman?
Usha ambiwa ni kweli imetokea.hii ingekaa kwenye jokes
hakuna cha kujifikirisha hapo, huyo si babu yake, basi kamuachia ujumbe ambao utadumisha upendo wao, daima na huyo mjukuu yampasa ajitahidi ,ajitume ili atengeneze hiyo 800/=M, kingine baada ya usia huo hhiyo si siri teena, aitoe huenda mmoja wa jamaa/jirani au mtumishi au chumbani kwake bibi anajua wapi? palikuwa hapaguswi, mzee ukigusa tu, unashukiwa kama mwewe na babu hivyo bibi ataelekeza pale kamua babu.