pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,440
Sio uzembe sehemu zote nilipo kuna idadi kubwa ya wanaume kuliko wanawake hata ninapofanyia kazi najiuliza hao wengi wako wapiUongo upo wapi wanawake ni wengi kuliko wanaume alafu mwamba anakosa??huo ni uzembe