Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

Nchi ina wajuaji sana hii. Nani ana ufahamu bora wa mtandao wa uhalifu kuliko vyombo vya dola? Kwanini tunasema bila ushahidi wowote kwamba waliouwawa hawahusiki na Kibiti? Kuonyesha kwamba kuna tatizo bila kuja na ushahidi ni kuleta maneno mengi ambayo yamekuwa kama ndio namna yetu ya kuonyesha tunajua hata yale ambayo hatujui kabisa.
Mitandaoni ni rahisi mno kuandika tena mara nyingi bila facts....tubadilike
 
Polisi wanataka kutuambia kuwa walio uwa watu misikitini wakakimbilia kibiti, sasa wameona hali tight Kibiti wamerudi tena Mwanza.
Binafsi nilivyomsikiliza na kumuelewa kamanda ni kuwa walipata taarifa na kumkamata mmoja wao, wakafanya nae mahojiano kwa muda wa siku sita,na katika uchunguzi wakagundua kuwa walikuwa wanajipanga kuanza kupiga matukio mkoani Mwanza kama wale wengine wanavyofanya kibiti. Bahati mbaya taarifa imeandikwa tofauti eti waliouwawa wanatoka kibiti
 
Mkuu
Usipanic
Twende taratibu...
Hakuna anayetamani haya yanayotokea yaendee...
Yanatuumiza sisi sote,lakini hii miereka ya Serikali yako hii inaturudisha nyuma sana kifikra.
Kama mlihamishia Jeshi la Polisi huko na bado watu wakaendelea kuuwawa iweje uone tuko salama.
Sina hakika sana kama ni Kweli SERIKALI imeshindwa kudhibiti mauaji hayo la sivyo basi iko siri kubwa sana serikali inaijua kuhusu mauaji haya
P.u.m.b.a.v.u!
 
Umeshaambi
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Umeshaambiwa walijibizana risasi. Hiyo ni proof kwamba ni majambazi hata kama hawatoki kibiti. Raia Wa kawaida hata kama mgeni hawezi kujibizana kwa risasi na polisi we kima!
 
Rose ana maswali mengi anajiuliza kuhusu mtu aliye toa taarifa kuwa wale wametoka kibiti je alijuaje kama wametoka huko kama ni raia mwema basi awape ushirikiano mzuri ili aweze kuwapa tarifa kila mala alafu hii cinema anajiuliza cinema kama hii ilitokea vikindu 25 ogasti 2016 baada askali wetu kutwambia walizingira nyumba moja saa saba usiku wakashambuliana na magaidi mpaka asubui lakini magidi yalifanikiwa kutoroka lakini tulimpotenza asikali wetu mmoja katika pambano hilo tukawa tunajuliza maswali imekuwaje nyumba izingirwe alafu wahalifu watoroke wakati mmeshambuliana nao hidi asubui hatukupata majibu na hili rose anajiuliza bila majibu yapo matukio mengi yanayo fanana
 
aliyowapa taarifa kashindwa kuwapeleka kibiti kawapeleka Mwanza. Hata Tazani wakati anacheza picha la kihindi na wanyama hakuwa muongo kama polisi wa Tanzania
 
Intelijensia Ipi unayoizungumzia wewe????
Ni hii hii ambayo imeshindwa kudhibiti mauaji ya kibiti kwa kipindi chote hiki???

Ni intelijensia ipi unayotakabkuiaminisha kwayo????
Ni hii hii ambayo mpaka Leo haijui kwanini mauaji yatokee KIBITI????

Div 1 na div 5 za bongo hazi reflect uwezo wa mtu wa ubongo
Wewe mama uache kukesha bar,simamia uanamke wako akili yako itatulia.

Intelijensia imeshindwaje,wakati inafanya kazi yake wewe unashikwa na uchungu????

Tz ya sasa inakumbwa na wimbi la wachambuzi uchwala wa kila jambo,mpaka mambo wasiyoyajua.

Ndio maana mnyika juzi akafungwa speed governor ya mdomo na nchemba bungeni,kwa kutiririka upupu asiojua hata namna ya kuuzungumzia.
 
Siyo hapa, hilo unalolisema ni kwenye nchi zenye demkrasia. Kuna malalamiko makubwa kuwa polisi wanabambikia watu kesi kupara rushwa. Wafanya biashara wa madini mahenge waliuliwa na polisi wakapora fedha zao. Tusiwe wepesi wa kusahau. Osokoni usitetee maovu ya serikali kwa vile unanufaika na regime hii!
Kama una wasi wasi au ushahidi kwamba polisi huwaamini,unaweza anzisha kampeni kupinga mauaji ya hao jamaa.

Ni rahisi tu,kama kumsukuma mlevi.
 
MUNGU NIPE HEKIMA NIONGEE KIDOGO KUHUSU WAUWAJI WA KIBITI.

Zipo taarifa kwamba kwamba wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza baada ya majibizano ya risasi na askari wetu...

Pia ziko taarifa kwamba akipatikana mtu mgeni kwenye eneo fulani kwa maana ya kwamba serikali ya eneo Hilo kutokumtambua basi atauwawa...

Kama taarifa hizi ndivyo zilivyo basi tunazo sababu za kujiuliza maswali mengi.

Kwamba, kama wauwaji wa KIBITI wameuwawa Mwanza kwenye majibizano ya risasi na askari, ni nani alitoa taarifa za uwepo wa watu hao Mwanza wakitokea KIBITI????

Je aliyetoa taarifa ya watu hao kuwa wametoka KIBITI alizithibitihaje taarifa hizo na yuko wapi mpaka sasa?

Jeshi la Polisi linasema nini juu ya mtoa taarifa huyo ambaye kimsingi atalisaidia sana Jeshi letu la Polisi kufanya upelelezi?

Je ni sahihi kwamba mtu yeyote mgeni kwenye eneo fulani anatakiwa kuuwawa? Na kama ndivyo mbona serikali yetu imekuwa na uoga wa kiwango hiki kwa wahalifu?

Je hakuna namna nyingine ya kushughulika na wanaodaiwa kuwa ni wageni kwenye maeneo fulani zaidi ya kuwauwa?
Hii ni Tanzania ileile tunayoisifia kwamba inaongozwa kwa misingi ya sheria?

KIBITI KIBITI KIBITI
MCHEZO WA SINEMA USIOTABIRIKA.
Haya ni mawazo tu lakini ya mjinga mmoja....
Ili maswali yako yapate majibu ungejitahidi uwe polisi.
Umeona kwa macho yako kwenye vyombo vya habar siraha zmekamatwa na wananchi mpaka wanabomoa maficho ya hayo majambazi ww unakuja na maswali ya kipuuzi unataka ujibiwe ww kama nani?

Kazi isiyo wahusu waachieni wenye nayo.

Hawa wauaji wametapakaa kila sehemu. Yule sniper alidungua gari ya askar 8 alikamatiwa kigoma akiwa njian kwenda Burundi.

Usiyoyajua yaache kama yalivyo kwamaana hata ukiyajua hayatakusaidia kitu
 
kama majambazi waliouawa ni ndugu zako unakaribishwa katika postmortem halafu ukawazike kwa heshima.

Polisi ikishatangaza vita maana yake hakuna majadiliano ni action tu.

Hapa mtaani kwangu kuna wageni kibao sijaona wakiuawa na Polisi.

Wanaouawa ni Majambazi...na waendelee kuawa tu.
Mkuu kila nikiona id yako nacheka sana.. Sijui kwann ulijiita jingalao .
Kuna watu humu mambo wanayofuatilia mpaka vichwa vinauma.. Sijui kapata wapi taarifa ya kwamba askari polisi wanaua kila mgeni kwenye mtaa
 
Kuwa verified user hapa JF kuna gharama zake! Na kale motto/signature maarufu ka/ya Invisible kanahusu sana post ya kwanza ya uzi huu.SOurce:Invisible

Kibaya gharama hizi zinawakumba wanaomfahamu huyo verified User.

index.jpg

....akikabidhiwa cheti cha uongozi bora....
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho ukweli utajulikana tuu hata kama sio kizazi hiki kipo kizazi kitakachotoa ukweli..
 
Kaulize kenya wamefikia wapi na wawekezaji wa kisomali. Tusifanye mchezo na mambo ya msingi. Unahakika hawa wendawazimu wako kibiti muda wote? Nchi inaingia kwenye janga la upotevu wa amani wewe unaleta itani wa kisiasa?Kumbuka kesho wataua bila kuchagua na hili ni janga la nchi yote! Swali lako ni la kitoto na halina hata chembe ya utanzania!Polisi wanajua wafanyalo ili kesho tuwe salama!

Back
Top Bottom