Ni kweli Tanzania hakuna udini kabisa?

Ni kweli Tanzania hakuna udini kabisa?

Ameweka upande wa Kikafiri hiko kimstari kimoja kinyonge ili kubalance mada ila target 🎯 ilikuwa kusimanga Waislamu maana limetumia miguvu mingi kwenye kusema Uislamu
"Makafiri" wapo wa kutosha wanaowaunga mkono na kuwatetea WaPalestina.
 
Ameweka upande wa Kikafiri hiko kimstari kimoja kinyonge ili kubalance mada ila target 🎯 ilikuwa kusimanga Waislamu maana limetumia miguvu mingi kwenye kusema Uislamu
Hauwezi kuta mkatoli au mlutheri anajielewa ana udini, majinga majinga ni malokole ndio huwa nayahara upumbavu
 
Kwahy Mkiwa mmeinama hua mnasikia kaupepo kamepita Kwenye kijambio?
Una maanisha ukiwa umeinamishwa na mumeo hua unahisi ukuni unavyokuingia sio?

Ila nyie machoko siku hizi wala hamjifichi tena,mnajitangaza wazi wazi kabisa.
 
Watanzania wengi wameunganishwa zaidi na itikadi za kimataifa kuliko mshikamano wa ndani wa kitaifa.
 
Hauwezi kuta mkatoli au mlutheri anajielewa ana udini, majinga majinga ni malokole ndio huwa nayahara upumbavu
Wanauziwa maji,udongo,mafuta na chumvi na kuaminishwa kua eti watakua matajiri kimiujiza bila hata ya kufanya kazi,

Eti nyanyua simu juu,sema hela ingia kwenye simu!
 
Kuna ufa,
TEC walikuwa kinyume huku BAKWATA wakiunga mkono kazi iendelee.
... hapa kwetu sio watusi na wahutu ni Kobaz VS TEC, ... ambayo ni HATARI ZAIDI!
NB: ... mimi na wife ni TEC na KOBAZ na tumekubaliana kila mtu asali kwao, sijui itakuwaje!?
 
Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha.

Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je huu sio udini?

Wagalatia wengi wako upande wa Israel, je huu sio udini?
Wewe ni mlokole mavi na halafu kuna kitu unajificha
 
Back
Top Bottom