Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,515
- 19,203
Kama unavyosema mkuu udini unasapotiwa sana na siasa kwa nchi yetuNinachohofia ni kupenyezwa kwa udini kwenye nyumba za ibada kwa nguvu sana kwakuwa kuna watu wanafikiri ni kete nzuri ya kisiasa! ... utakuta shehe au mchungaji hotuba yote ni aidha kusifia au kuikandia serikali!
TAHADHALI: Matokeo yeyote ya siasa za namna hii yanaweza kuleta GENOCIDE!
... chondechonde watanzania tusifuge hili jini!
Pia naona umechipukia kwa kasi sana mitandaoni sio tu Jf hata platform nyengine ila mtaan bado hakujawaka sana