Ni kweli mwanamke anahudumiwa kila kitu?

Ni kweli mwanamke anahudumiwa kila kitu?

Pesa ya mwanamke sio ya mwanaume elewa hivyo pesa ya mwanamke ni ya mwanamke tu, Ila pesa ya mwanaume ni ya wote kwa ujumla yaan familia nzima, yeye mwanaume, mke wake na watoto wake, na ndugu za mkewe, na ukoo wa mkewe, bado haujaelewa?
Sawa.
 
Hizo ni tamthlia za ZILIPENDWA tumesikia madam siku hizi mwanamke ni dependable kwa mwanaume hadi pesa ya chupi, perfume na mafuta ya kupakaa pesa inatoka kwa mwanaume, sio kwamba mwanamke hana pesa la hasha mkomoeni tu, wenyewe mnasema km kweli anakupenda atakulinda
Pesa zetu ni zetu mkuu za kwenu ni zetu wote
 
Hope mmeamka salama
Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k.

Kifupi haelewi vingine. Nimemweleza kuwa maisha ya leo sio ya zamani ila bado mzito sana. Ni mwanamke wa makamo ila bado kuingia maisha ya ndoa.

Tujadili hili kwa faida ya wote
Hujaelewa nin wakati kakuelewesha vzuri kabisa kulingana na akil yake.
Kama ndo dem wako tafuta mwingine mapema usije anza kulia.
 
Hizo ni tamthlia za ZILIPENDWA tumesikia madam siku hizi mwanamke ni dependable kwa mwanaume hadi pesa ya chupi, perfume na mafuta ya kupakaa pesa inatoka kwa mwanaume, sio kwamba mwanamke hana pesa la hasha mkomoeni tu, wenyewe mnasema km kweli anakupenda atakulinda
Hiyo slogan imeanzia kwao, na wanaipush kwa nguvu
 
Ndo mana Hana mume

Jichanganye sasa umelifagae li laana la kuoa selfish woman...
 
Sasa mkuu umeoa mwanamke analipwa milioni 12 we unapata 450000 utaweza kumuhudumia kila kitu, hao feminists watakufanya utangulie mbele za haki mapema.Watu tumeoa lakini tunashangaa mawazo ya vijana wa jf yaani muda wote wana wasiwasi na wanawake[emoji23][emoji23]. Mpende mkeo, mjali, muonyeshe ni mtu wa thamani kubwa sana kwako, jali watoto vizuri, achana michepuko, hakikisha kipato chako kwa kiasi kikubwa kinatumika kunufaisha familia yako sasa we hela yako ni kulipia kodi michepuko na kuwafungulia viduka vya nguo na kulewa pombe utaona rangi zote.
 
Hela ya mwanamke ni yake mwanamke kwa mwanaume ambaye hajampenda.

Sisi wanawake tukipenda ni wahongaji wazuri sana. Sikuwahi kudhani ningeweza kumnunulia mwanaume iPhone ya M 2+ heheheeee. Hapa ni vile sina hela sana na gari angepata.
Hatuzungumzii kupenda hapa wala kuhonga. Tunazungumzia majukumu dada acha kupoteza mada
 
Hatuzungumzii kupenda hapa wala kuhonga. Tunazungumzia majukumu dada acha kupoteza mada
Wewe una akili nzito kama uji wa mtama.
Ndiyo nimesema mwanamke akikupenda kweli anatoa hela yake iwe kulisha familia iwe kujenga iwe kulipa ada. Akikupenda anatoa.
Asipokupenda hauwezi ona hata 10 yake.
 
Back
Top Bottom