Ni kweli mwanamke anahudumiwa kila kitu?

Hope mmeamka salama
Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k.

Kifupi haelewi vingine. Nimemweleza kuwa maisha ya leo sio ya zamani ila bado mzito sana. Ni mwanamke wa makamo ila bado kuingia maisha ya ndoa.

Tujadili hili kwa faida ya wote
[emoji23][emoji23][emoji23] hutaki, kumtunza mke ni wajibu wako na ndio nguvu yako ndani ya ndoa huwezi kimbia. Alichokosea huyo mwanamke wako ni kujitanabahi na kutoa kauli ya pesa yake ni yake, haki ya Mungu hapo ndio angenitibuwa kila kitu. Asichojua, nikwamba mwanaume anasema hayo kuona kwamba upo tayari kujitoa muhanga kama yeye anavyojitoa ila at the end sitaacha kumuhudumia mke wangu maana yeye anamajukumu yake. Ila kwakauli ya kiburi tu kama hiyo aliyoitoa, naendelea na mishe za muhimu maana alichaguwa ushindani badala ya heshima, alichagua kuwa feminist kwamwanaume aliomkubali mwenyewe. Mdomo huwaponza sana wadada, huku wakiwa na kiburi cha uzima.
 
Mdomo huwaponza ila matendo huwaponza zaidi

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hope mmeamka salama
Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k.

Kifupi haelewi vingine. Nimemweleza kuwa maisha ya leo sio ya zamani ila bado mzito sana. Ni mwanamke wa makamo ila bado kuingia maisha ya ndoa.

Tujadili hili kwa faida ya wote
As long as unanihudumia vizuri, familia na majukumu yako ya nyumbani unayatimiza na sio hausigelo. Hela yako ni yako, yangu ni ya wote.
 
mwanamke akipenda anahonga vizuri tu achana na hawa waganga njaa😂😂
 
Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k
Ndio hivyo yaan hadi mkiwa mmezeeka pamoja mwanamke pesa zake ni pesa zake, akikupa basi jua amekukopesha na lazima uzirudishe maana hua hawasahau

Ila yeye atataka umuhudumie na familia uihudumie na kwao ujenge na ufanye ukarabati pia kila inapotakiwa kufanya hivyo kwa pesa yako sio yake, umeelewa sasa au bado una swali?

Pesa ya mwanamke ni ya mwanamke na pesa yako ni pesa ya familia na ukoo wake na ndugu zake, sawa shemeji mpya? Jimalize sasa
 
Hela ya mwanamke ni yake mwanamke kwa mwanaume ambaye hajampenda.

Sisi wanawake tukipenda ni wahongaji wazuri sana. Sikuwahi kudhani ningeweza kumnunulia mwanaume iPhone ya M 2+ heheheeee. Hapa ni vile sina hela sana na gari angepata.
Nakuunga mkono.Mimi nilikuwa na binti mmoja enzi za Chuo huko NSTC (siku hizi SAUT.
Alikuwa ananihonga na kuninunulia nguo na matumizi yangu ya kila siku.Mwanamke akikupenda haswa utafaidi pesa zake.
 
Hela ya mwanamke ni yake mwanamke kwa mwanaume ambaye hajampenda.

Sisi wanawake tukipenda ni wahongaji wazuri sana. Sikuwahi kudhani ningeweza kumnunulia mwanaume iPhone ya M 2+ heheheeee. Hapa ni vile sina hela sana na gari angepata.
Eti uko nyuma mmesikia
 
Chai yako haina sukari Hannah
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hutaki, kumtunza mke ni wajibu wako na ndio nguvu yako ndani ya ndoa huwezi kimbia. Alichokosea huyo mwanamke wako ni kujitanabahi na kutoa kauli ya pesa yake ni yake, haki ya Mungu hapo ndio angenitibuwa kila kitu. Asichojua, nikwamba mwanaume anasema hayo kuona kwamba upo tayari kujitoa muhanga kama yeye anavyojitoa ila at the end sitaacha kumuhudumia mke wangu maana yeye anamajukumu yake. Ila kwakauli ya kiburi tu kama hiyo aliyoitoa, naendelea na mishe za muhimu maana alichaguwa ushindani badala ya heshima, alichagua kuwa feminist kwamwanaume aliomkubali mwenyewe. Mdomo huwaponza sana wadada, huku wakiwa na kiburi cha uzima.
Umenena vyema. Yako mambo hutokea naturally na sio kupangana mapema hivi
 
Ndio hivyo yaan hadi mkiwa mmezeeka pamoja mwanamke pesa zake ni pesa zake, akikupa basi jua amekukopesha na lazima uzirudishe maana hua hawasahau

Ila yeye atataka umuhudumie na familia uihudumie na kwao ujenge na ufanye ukarabati pia kila inapotakiwa kufanya hivyo kwa pesa yako sio yake, umeelewa sasa au bado una swali?

Pesa ya mwanamke ni ya mwanamke na pesa yako ni pesa ya familia na ukoo wake na ndugu zake, sawa shemeji mpya? Jimalize sasa
Wanawake wa sampuli hii hawana nafasi kwenye jamii ya leo
 
Sio sahihi japo inategemea na mipango ya familia, Aina ya familia na kipato cha kila mmoja mmoja. Unakuta mume kamzidi mke kipato mara 5, ni sahihi mume kumhudumia mkewe kwa kila kitu, lakini haimaanishi pesa ya mke aitumie atakavyo.

Mimi pesa yangu ni akiba ya familia, huwa akiamua anaichota hata bila kunipa taarifa, sababu ipo pale kusave purpose yetu sote ikiwa yake imekwama mahali au kuna kitu kinahitaji pesa fulani na yeye hana au imepungua.

Maisha hayapo hivyo jamani, kwamba pesa ya mke ni ya mke tu!!!
 
Pesa ya mwanamke sio ya mwanaume elewa hivyo pesa ya mwanamke ni ya mwanamke tu, Ila pesa ya mwanaume ni ya wote kwa ujumla yaan familia nzima, yeye mwanaume, mke wake na watoto wake, na ndugu za mkewe, na ukoo wa mkewe, bado haujaelewa?
 
Eti uko nyuma mmesikia
Hizo ni tamthlia za ZILIPENDWA tumesikia madam siku hizi mwanamke ni dependable kwa mwanaume hadi pesa ya chupi, perfume na mafuta ya kupakaa pesa inatoka kwa mwanaume, sio kwamba mwanamke hana pesa la hasha mkomoeni tu, wenyewe mnasema km kweli anakupenda atakulinda
 
Back
Top Bottom