Ni kweli mchumba hasomeshwi?


Aiseeeeeee sio mchezo....
 
Hahahahahahhahaa.... Lakini ni vema kufanya hili out of love without so much expectations ..... ili Hata kama ikija kutokea kama ambavyo chochote chaweza kutokea usihuzunike saaaaana .....!!!! Just do it for L.O.V.E.
Even if you do it out of love, yet it gonna hurt you. Whatever you offer to someone you're in love with goes in the name of love different from what is given to a Normal friend kwa mfano mimi shemeji yangu nimemtolea zaidi ya laki 8 shuleni ili aendelee na masomo na hainiumi ila inaniuma laki 2 tu niliyompa mara ya mwisho dada yake (mchumba wangu) ili ashone sare za kazi yake-inaniuma sana ninapoona kumbe alikuwa na boya mwingine akila mapesa yangu na pengine hata ya chakula alikuwa anakula na boya wake. Nalia kilio cha mbwa mdomo wazi mimi!
 
Kuna kabinti nakasomesha jamani.. Nikiona story kama hizi napatwa na wasiwasi kweli..Bora ziwe za uongo aisee
hongera Ila kaa ukijua hyo no try an error mi mtoto wa aunt yangu aliyemsomesha mwingine aliyemuoa mwingine
take care!!acha wazazi wabebe mzigo
 
Kwani unapomsomesha si inakuwa ni mapenzi tu...Mbona vitu vingine vya kimapenzi havijutiwi iwapo mapenzi yakiisha...Lakini mtu akikusomesha basi ataliiiiiiiiia.....wanaume wengine ni wachoyo jamani....
Issue ya kumsomesha mtu ni garama sana acha kabisa.
 
Unamsomeshaje mchumba? Msomeshe Mke au wadogo zako.

Unamlipia fees mke wa mtu?

Akili kumkichwa.
 
Mnaosomesha wachumba hamfai kwa lingine zaidi ya kusomesha...
 
Tatizo mnakuwa na too much expectations. Learn from your mistakes. Usirudie kosa. Usiliwaze sana hilo. Limeshapita. Best revenge is to become more successful. Move on and be a better person.
 
Tatizo mnakuwa na too much expectations. Learn from your mistakes. Usirudie kosa. Usiliwaze sana hilo. Limeshapita. Best revenge is to become more successful. Move on and be a better person.
Indeed I've learnt from my previous mistake na nimejisalimisha kwa mama yangu nakumweleza juu ya kosa kubwa nililofanya ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya pesa ambazo zingeweza hata kuwalisha ndugu au rafiki zangu pasipo na mategemeo ya reward yoyote kama ilivyokuwa kwa Kwezi mchumba wangu aliyenipiga chini na kuniambia, "piga gharama zako unadai shilingi ngapi nikulipe mbele ya boya wake" nilihisi kuchanganyikiwa kwa kweli. Saivi sitarudia ujinga kama huu.
Mademu si wa kuamiani hata kidogo, they are the same na akili zao ni za mizuka ukimpanda anakupiga chini pasipokujali how much you love her na umemfanyia nini na unampenda kwa upendo gani.
 



Umsomeshe mchumba kwani wewe ndiye uliyemzaa? Wazazi wake wanafanya nini?
 
Waswahili bwana

"Utakuja kujinyonga mchumba hasomeshwi"

Nikiufikiria huu msemo tu sina hamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…