Ni kweli mchumba hasomeshwi?

Exactly true.
 
Pole sana ndg, ntajitahidi niupitie huo uzi maana ni muhimu sana.
 
hahahaha...nyie tatizo hamtakagi kusoma...mnatakaga tu magari na pesa ili mkavutie wanawake wengine.
Mkituhamasisha tutasoma tu kiroho safi. Nyinyi ndo mnatufanya tukatae shule tutafute pesa na magari.
 
Tatizo waschana wakata wansomeshwa wanapa ahad wanaume ambao ni wapenz wao kuwa watakubal kuolewa sasa kaz inakuja pale ushamtafutia kaz na ana anza Jeur haha
 
Pamoja na gharama itabidi akukabidhi vyeti vyote.
tatizo elimu ni kitu ambacho mtu akishakipata hakiondoki kichwani wala huwezi kumnyang'anya. Ingekuwa inawezekana ungefuta kichwani vyote alivyosoma abaki kama awali ila uwezo huo haupo. Utachukua vyeti na ataenda kuchukua certified copies na atatumia kama kawaida. Inauma sana mkuu
 
Me bora nikusaidie as a friend na sio kukusomesha ntakusaidia vitu vilivyopo ndan ya uwezo wangu kuliko tuwe wapenz halafu mwisho wa cku niwe hope ya kukukoa wakat una jamaa mwingine. Never
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…