Ni kweli kuwa January Makamba hagusiki?

Ni kweli kuwa January Makamba hagusiki?

Pascal usiwe hivyo , Unajua vizuri kua ile ni hoja tu apate kujitetea, ila ukweli ni kwamba Manlipwa pesa kuwalinda ila huo sio uzalendo, unaumiza watu wengi sanna funguka kusema ukweli na kutetea ukweli hii nchi haiwezi kuendelea kama tukiwa tunafikiria matumbo yetu tu, kuna maisha baada yako kuna vizazi vyako pia
Pascal anatuona Maboya,hivi Scientist kama Magufuli pamoja na Engineer Tito na Kyaruzi wasijue athari za ku-overwork mitambo bila maintenance ila kilaza January na Bodi yake ya Tanesco imejaa maswaiba ambao ni Bankers wajue![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima.

Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo kubwa kama hili na badala yake ameachwa kana kwamba wizara yake inafanya vizuri na hakuna dosari.

Hivi ni kweli January Makamba hawezi kunyooshewa kidole kisa ni mtoto wa Yusuf Makamba? Serikali inatufundisha nini?
Huyo ni kijana wa mama huyo, kwani nani angemgusa Makonda au Sabaya enzi hizo?
 
Ndugu jitafutie maendeleo yako binafsi na wanao hao kina Maropu hawako kazini for you wako kwa matumbo yao tu!

Kuna siku genge lao lote watachoka watazeeka na watadedi na hapo nchi itaendelea but ni miaka 30 ijayo kama utakuwepo hai utaenjoy.

Kwasasa hatuna Cha kufanya zaidi ya kuwalaani tu wapate Renal failure Yale matrilioni yaishie Dialysis japo ni dua la kuku😁
Wewe nawe unataka uwe mjinga?

Kwa nini unadhani yeye kuuliza matumizi sahihi ya kodi yake ni dhambi na kwamba hapaswi kujua ubora wa huduma zitokanazo na kodi yake
 
Mchawi muda ndugu,

Ikiwa aliachia kijiti mgogo ambaye alijidhatiti ngi ngi ngi ulinzi wa kibabe alikaba man tu man mpaka kidigital lkn wap maneno machache tu aliyoyatoa yameharibu mazur yote aliyowah fanya
Yap time is the best teacher
 
Ni maneno ya kujitetea tu ila kiukweli kwemye umeme magu aliweza sanna na bimkubwa anafeli, Pia sisemi magu alikua amekamilika ila kuna mambonmengine mama amuige magufuli ingawa mama ana mengi mazuri ila roho yake nyepesi haiwawajibishi wavivu kama jjanuary makamba
Labda baada ya 25 atatambua kua kweli yeye ni rais[emoji1787][emoji1787]
 
Kipindi cha Mwendazake ,ukiapply umeme leo ,control namba unakuja kupewa baada ya miezi 6 halafu ukishalipia umeme unakuja kufungiwa baada ya miezi 8.

Kipindi cha samia ukiapply umeme leo lets say asubuhi control namba unepewa mchana na ukilipia kesho unakuja kufungiwa kama ni service line ila kama kuna nguzo basi ndani ya week unawekewa umeme.
 
Kipindi cha Mwendazake ,ukiapply umeme leo ,control namba unakuja kupewa baada ya miezi 6 halafu ukishalipia umeme unakuja kufungiwa baada ya miezi 8.

Kipindi cha samia ukiapply umeme leo lets say asubuhi control namba unepewa mchana na ukilipia kesho unakuja kufungiwa kama ni service line ila kama kuna nguzo basi ndani ya week unawekewa umeme.
Nakubali wanaunganisha haraka na kwa weledi ila umeme hamna? ni afadhali huduma ya kunikonectia umeme ichukue miaka miwili ila umeme uwe wa uhakika, January imemshinda wizara
 
Pamoja na kujua kua jiwe angeendelea kuwepo nchi ingeingia gizani kwa kiburi chake, ila uliendelea kumtukuzaaa

Kisa mzilankende mwenzio.
Mkuu mwanadome , kwanza sijawahi kumtukuza binaadamu yoyote, wa kutukuzwa ni Mungu pekee!. Hili ninilisema kwa JPM Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe na nimelirudia hili neno kwa Rais Samia Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

Japo haijawahi wahi kufanyika survey ya ni nani humu jf ni critic mkubwa wa JPM humu jf, lakini amini nakuambia, hakuna member wa jf aliyekuwa critic wa JPM kama mimi!, tatizo la wana jf wengi sio wafuatiliaji saana wa kivile, mimi ni mfuatiliaji sana!, niki m criticise JPM kuhusu jambo fulani, kiukweli JPM alikuwa anaingia mwenyewe in jf in person na anakasirika sana kuwa criticized publicly lakini yeye mwenyewe tuu baadaye anatafakari, anabadilika!, no one notices the changes lakini mimi nili criticise jambo fulani, nikinote mabadiliko, napongeza mfano ni huu Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!. amini nakuambia, Mungu asingemchukua, saa hizi tungekuwa kwenye mchakato wa katiba mpya, ila ingekuwa ya serikali moja!.

Japo ni kweli mimi ni Msukuma na nilimsifu Magufuli kwa kupiga kazi Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... lakini JPM hakuwa Msukuma OG, alikuwa Mzilankende na Wazilankende sio Wasukuma, na hili ni mimi nililisema humu Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
P
 
Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima.

Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo kubwa kama hili na badala yake ameachwa kana kwamba wizara yake inafanya vizuri na hakuna dosari.

Hivi ni kweli January Makamba hawezi kunyooshewa kidole kisa ni mtoto wa Yusuf Makamba? Serikali inatufundisha nini?
Kama utawaza vizuri. Kuna lile kundi la ,Masaki, Oct 2015 . Lile kundi lilisimika uongozi kwa njia yoyote nzuri au mbaya walioiona . Sasa wasimikwaji hawawezi kwenda kinyume.
 
Nakubali wanaunganisha haraka na kwa weledi ila umeme hamna? ni afadhali huduma ya kunikonectia umeme ichukue miaka miwili ila umeme uwe wa uhakika, January imemshinda wizara

Umeme unakatika kuna mambo mengi mkuu:-

1. Planned - Hapa huwa wanatoa taarifa

2.Breakdown-Hitilafu - Hapa hawana control - Ni kutoa taarifa kisha kuifanyia kazi.

3.Hujuma(Subotage) -Kuna baadhi ya watendaji wanakosa uaminifu na kulihujumu shirika ili waweze kuuza majeneneta na mafuta.

4.Uchakavu wa Miundombinu -Hii inapunguza performance hivyo umeme kuwa mdogo na kusababisha downtime/fluctuations.

5.High Demand/Low supply -Hapa ndipo SSH na january ndipo wanafanya kuongeza sources za umeme na stability

N.B kwenye kila project tambua kuna watu wanafaidia kwa 10% ,kuipa kampuni zake tenda kinyemela ,kuuza materials etc wanaokula ni hao wenye maamuzi.....Ni bora wapige hizo deal zao sisi tupate umeme ilo tutamuachia CAG apambane nao.
 
Iko hivi, moja ya wizara ambazo mipigo yake ni rahisi, haraka na mikubwa ni wizara ya nishati.

Yule mstaafu ndo mmiliki wa wizara. Itashikwa na amtakaye yeye na siyo vinginevyo.
 
Back
Top Bottom