kiukweli si tatizo mtoto kurithi kazi ya baba yake, ridhwani anaouwezo mkubwa tunamuona kwenye ardhi hata nape nauye si mbaya anajitahidi, ila shida ni huyu bwamdogo analitia taifa umasikini na mama anamuachaNape[emoji1787][emoji1787]
Maana nchi mali yao. Akishindwa Nape atapewa Riziwani.
Ni mwendo wa Royal Families.
mimi simuonei mtu wala kumsifia mtu kama hana mazuri ukweli nausemaWe mjukuu wa daudi. Kwanin unamsagia kunguni mwenzio.
Sii kweli kuwa tatizo la umeme limeibuka baada ya yeye kuingia, yeye sio mzalishaji wa umeme wala sio switcher!. Tatizo la umeme liko kitambo na limeisha wahi hadi kumponza Waziri Mkuu kwenye Richmond, lidudu IPTL, Escrow, Dowans, Simbion etc ni miongoni mwa matatizo ya umeme!.kwamba tatizo la umeme ambalo limeibuka baada ya yeye kushika kiti cha uwaziri sio tatizo, Hv unafahamu mchango wa umeme kwenye maendeleo ya jamii , unataka kunambia wanavyoeneza miundombinu ya umeme halafu huduma hamna wawekezaji wnakimbia viwanda vidogo vinakufa
Naomba nikuulize swali naomba nijibu kwa hoja , Magufuli enzi za uhai wake aliigawa wizara ya nishati na madini na kumteua waziri Kalemani waziri wa Nishati Je tangia ateuliwe ulishawahi kusikia Tanzania nzima popote umeme hata kupepesa ?Sii kweli kuwa tatizo la umeme limeibuka baada ya yeye kuingia, yeye sio mzalishaji wa umeme wala sio switcher!. Tatizo la umeme liko kitambo na limeisha wahi hadi kumponza Waziri Mkuu kwenye Richmond, lidudu IPTL, Escrow, Dowans, Simbion etc ni miongoni mwa matatizo ya umeme!.
Mimi ni miongoni mwa members humu JF tunauzungumza kwa kina sana masuala ya nishati, na kwa vile wewe pia ni old Guard humu toka 2011, natumaini bandiko hili Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! utakuwa uliliona!.
Ni mimi niliosema Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa! sasa katokea mtu anaifanya nishati ni kipaumbele chetu, badala ya kumsupport nyie ndio kwanza mnampiga vita!.
P
Hakuna kipindi chochote ambacho umeme haukukatika, ila ni kweli kipindi cha mwamba hatukuwahi kuwa na mgao wa umeme kwasababu JPM aligoma mitambo isizimwe kufanyiwa maintenance!, hivyo I run mpaka ife!. Samia alipoingia ndio akaruhusu maintenance!. JPM angeendelea kuishi kidogo tuu, nchi ingeingia gizani!.kalemani Naomba nikuulize swali naomba nijib kwa hoja l, Magufuli enzi za uhai wake aliigawa wizara ya nishati na madini na kumteua waziri Kalemani waziri wa Nishati Je tangia ateuliwe ulishawahi kusikia Tanzania nzima popote umeme hata kupepesa ?
Mzee punguza kuandika andika ujinger basi.Hakuna kipindi chochote ambacho umeme haukukaka, ila ni kweli kipindi cha mwamba hatukuwahi kuwa na mgao wa umeme kwasababu JPM aligoma mitambo isizimwe kufanyiwa maintenance!, hivyo I run mpaka ife!. Samia alipoingia ndio akaruhusu maintenance!. JPM angeendelea kuishi kidogo tuu, nchi ingeingia gizani!.
P
Pascal usiwe hivyo , Unajua vizuri kua ile ni hoja tu apate kujitetea, ila ukweli ni kwamba Manlipwa pesa kuwalinda ila huo sio uzalendo, unaumiza watu wengi sanna funguka kusema ukweli na kutetea ukweli hii nchi haiwezi kuendelea kama tukiwa tunafikiria matumbo yetu tu, kuna maisha baada yako kuna vizazi vyako piaHakuna kipindi chochote ambacho umeme haukukatika, ila ni kweli kipindi cha mwamba hatukuwahi kuwa na mgao wa umeme kwasababu JPM aligoma mitambo isizimwe kufanyiwa maintenance!, hivyo I run mpaka ife!. Samia alipoingia ndio akaruhusu maintenance!. JPM angeendelea kuishi kidogo tuu, nchi ingeingia gizani!.
P
hawa ndio paid writers heshima zao znazidi kushuka sababu wanajaribu kuficha ukweli kwa kalamu, Pascal tatizo unalijua vzrMzee punguza kuandika andika ujinger basi.
Au wewe huoni tatizo la umeme.
Tumia akilli mkuu.
Mkuu Kahtan Ahmed Daudi, mimi ni Mkristu, siwezi kumuapia binadamu lakini amini usiamini angalia kipindi hiki cha 30 min na January Makamba kwa kujitolea!. Sikulipwa hata senti 5 na January au Wizara yake!.Pascal usiwe hivyo , Unajua vizuri kua ile ni hoja tu apate kujitetea, ila ukweli ni kwamba Manlipwa pesa kuwalinda ila huo sio uzalendo, unaumiza watu wengi sanna funguka kusema ukweli na kutetea ukweli hii nchi haiwezi kuendelea kama tukiwa tunafikiria matumbo yetu tu, kuna maisha baada yako kuna vizazi vyako pia
ila nimekuuliza swali umeshindwa kujibu, waziri kalemani kipindi cha magufuli aliwezaje kipindi chote umeme hukuwahi kusikia tatizoMkuu Kahtan Ahmed Daudi, mimi ni Mkristu, siwezi kumuapia binadamu lakini amini usiamini angalia kipindi hiki cha 30 min na January Makamba kwa kujitolea!. Sikulipwa hata senti 5 na January au Wizara yake!.
Kiukweli kabisa Watanzania wengi ni very ignorant, akitokea mtu mkweli wa type ya January Makamba kuwaeleza ukweli, hawaamini na kumpiga majungu!. Umeme hauhitaji siasa!, unahitaji fedha na uwekezaji mkubwa na sio blah blah.
P
Wapo wengi ambao wanauwezo mkubwa mno katika wizar hiyo,
Ni umakini wa timu yake tu, january makamba hajitoi na hayupo makini mimi nakuhakikishia wallah hata kijana wa form 4 anaejitambuabanaweza kutataua tatizo lilipo pale Tansco kwa mikakati na mipango madhubit ila kwasababu hayupo makini hajali anachojali yeye ni kukusanya matrillion kulipa chawa ili wamtetee na kumuunga mkono kwemye mbio za uraisi na hafaiMkuu Kahtan Ahmed Daudi, mimi ni Mkristu, siwezi kumuapia binadamu lakini amini usiamini angalia kipindi hiki cha 30 min na January Makamba kwa kujitolea!. Sikulipwa hata senti 5 na January au Wizara yake!.
Kiukweli kabisa Watanzania wengi ni very ignorant, akitokea mtu mkweli wa type ya January Makamba kuwaeleza ukweli, hawaamini na kumpiga majungu!. Umeme hauhitaji siasa!, unahitaji fedha na uwekezaji mkubwa na sio blah blah.
P
Pamoja na kujua kua jiwe angeendelea kuwepo nchi ingeingia gizani kwa kiburi chake, ila uliendelea kumtukuzaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mkuu Kahtan Ahmed Daudi, mimi ni Mkristu, siwezi kumuapia binadamu lakini amini usiamini angalia kipindi hiki cha 30 min na January Makamba kwa kujitolea!. Sikulipwa hata senti 5 na January au Wizara yake!.
Kiukweli kabisa Watanzania wengi ni very ignorant, akitokea mtu mkweli wa type ya January Makamba kuwaeleza ukweli, hawaamini na kumpiga majungu!. Umeme hauhitaji siasa!, unahitaji fedha na uwekezaji mkubwa na sio blah blah.
P
Prince Bush Electrical Engineer Kipara of Msoga Kingdom and the Duke of Bumbuli!Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima
Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo kubwa kama hili na badala yake ameachwa kana kwamba wizara yake inafanya vizuri na hakuna dosari
Hivi ni kweli January Makamba hawezi kunyooshewa kidole kisa ni mtoto wa Yusuf Makamba? Serikali inatufundisha nini?
Ni maneno ya kujitetea tu ila kiukweli kwemye umeme magu aliweza sanna na bimkubwa anafeli, Pia sisemi magu alikua amekamilika ila kuna mambonmengine mama amuige magufuli ingawa mama ana mengi mazuri ila roho yake nyepesi haiwawajibishi wavivu kama jjanuary makambaPamoja na kujua kua jiwe angeendelea kuwepo nchi ingeingia gizani kwa kiburi chake, ila uliendelea kumtukuzaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kisa mzilankende mwenzio.
Mimi nashangaa watu wanamsufia mtu anaboronga kwenye Wizara nyeti ya kuchochea shughuli za kiuchumi!!paid writers tena wacheni mijadala mfikishie ujumbe kua anaharibu na sanna kwemye wizara yake afanye ambacho tunaweza kumsifia hawezi kufanya maisha magumu sababu ya umeme kisha tukamchekea
Sawa tunajua mnampenda ila uwezo wa kuongoza Wizara ya Nishati hana.Yule anafaa kuwa Waziri wa Muungano au Mambo ya Nje na akishindwa kabisa abaki kuwa Mshauri wa Mama katika siasa.Sii kweli kuwa tatizo la umeme limeibuka baada ya yeye kuingia, yeye sio mzalishaji wa umeme wala sio switcher!. Tatizo la umeme liko kitambo na limeisha wahi hadi kumponza Waziri Mkuu kwenye Richmond, lidudu IPTL, Escrow, Dowans, Simbion etc ni miongoni mwa matatizo ya umeme!.
Mimi ni miongoni mwa members humu JF tunauzungumza kwa kina sana masuala ya nishati, na kwa vile wewe pia ni old Guard humu toka 2011, natumaini bandiko hili Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! utakuwa uliliona!.
Ni mimi niliosema Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa! sasa katokea mtu anaifanya nishati ni kipaumbele chetu, badala ya kumsupport nyie ndio kwanza mnampiga vita!.
P
Mkuu na wewe unaamini kabisa a Scientist kama Magufuli hajui impact ku-overwork mitambo bila maintenance!Hakuna kipindi chochote ambacho umeme haukukatika, ila ni kweli kipindi cha mwamba hatukuwahi kuwa na mgao wa umeme kwasababu JPM aligoma mitambo isizimwe kufanyiwa maintenance!, hivyo I run mpaka ife!. Samia alipoingia ndio akaruhusu maintenance!. JPM angeendelea kuishi kidogo tuu, nchi ingeingia gizani!.
P