Ni kweli kuwa January Makamba hagusiki?

Ni kweli kuwa January Makamba hagusiki?

Ndugu jitafutie maendeleo yako binafsi na wanao hao kina Maropu hawako kazini for you wako kwa matumbo yao tu!

Kuna siku genge lao lote watachoka watazeeka na watadedi na hapo nchi itaendelea but ni miaka 30 ijayo kama utakuwepo hai utaenjoy.
Kinachotakiwa kife ni mfumo, na sio watu kama unavyosema hapa.

System ikiwa fair & strong, huwezi kujali kuhusu watu waliopo. Maana kila kitu kinajiendesha chenyewe.

Yani kuwe na utaratibu imara ambao haupendelei mtu wala taasisi. Mfano, Kama kosa "A" adhabu yake ni kunyongwa, basi yoyote atakayelifanya hilo kosa anyongwe bila kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye jamii. Kama kosa B ni kufukuzwa kazi, basi iwe hivyo kwa ngazi zote na watu wote!

Lakini system ikiwa mbovu, hata kama hawa waliopo wakiondoka bado watakuwepo wengine wanaofanana nao kila kitu kasoro majina tu.

Ni mtazamo!
 
Mkuu Kahatani, sii kweli wizara imemshida kutokana na issues ndogo za umeme!. Kuna mambo makubwa mazuri yanafanyika hivyo vuta subra mambo yatengamae. Hebu msikilize mwenyewe

Waziri awajibishwe kwa kosa gani?. Kwani ni yeye ndiye anakata umeme?.

Sio hawezi kunyooshewa vidole kisa ni mtoto wa Yusufu bali anyooshewe kidole kwa kosa gani?!.

Mbona watu mna chuki tuu za ajabu dhidi ya baadhi ya watu for no apparent reasons?.
P

Hawa wote ni Paid writers...wako kwenye mission ya "attack January"..yote ni hofu ya Nani atam succeed Samia
 
Huwezi kuua system unayoshiriki kuiunda hadi kizazi kingine ndo watakuja kuvunjavunja. Hizi viruses Bado zinadunda ila zinaendelea kupukutika uzee Hauna dawa!

Magufuli alijaribu kuvunja mfumo wa ufisadi ila kilichomtokea tumeona
 
Huwezi kuua system unayoshiriki kuiunda hadi kizazi kingine ndo watakuja kuvunjavunja. Magufuli alijaribu kilichomtokea tumeona
Illusions.

Magufuli alivunja kitu gani?

Nitajie kibadikiko hata kimoja Cha KIMFUMO alichobadili magufuli
 
Nimestuka!! Nafikiri hakuna hoja za maana tena za lissu au chadema kwa ujumla.....zimekwisha!
 
Mkuu Kahatani, sii kweli wizara imemshida kutokana na issues ndogo za umeme!. Kuna mambo makubwa mazuri yanafanyika hivyo vuta subra mambo yatengamae. Hebu msikilize mwenyewe

Waziri awajibishwe kwa kosa gani?. Kwani ni yeye ndiye anakata umeme?.

Sio hawezi kunyooshewa vidole kisa ni mtoto wa Yusufu bali anyooshewe kidole kwa kosa gani?!.

Mbona watu mna chuki tuu za ajabu dhidi ya baadhi ya watu for no apparent reasons?.
P
kwamba tatizo la umeme ambalo limeibuka baada ya yeye kushika kiti cha uwaziri sio tatizo, Hv unafahamu mchango wa umeme kwenye maendeleo ya jamii , unataka kunambia wanavyoeneza miundombinu ya umeme halafu huduma hamna wawekezaji wnakimbia viwanda vidogo vinakufa
 
Naoe Nnauye, January Makamba, Ridhiwani Kikwete, Mchengerwa, hawaapewa Wizara walete Ufanisi.

Wamepewa Wizara kwa kazi Maalum.
kiukweli hao wengine naweza kusema wamepewa kazi maalumu ila kwenye utendaji wao angalau hawana baya la wazi ambalo tunaweza kuwaoneshea kidole ila je Imekuaje kwa Makamba baya linaonekana wazi
 
Hawa wote ni Paid writers...wako kwenye mission ya "attack January"..yote ni hofu ya Nani atam succeed Samia
paid writers tena wacheni mijadala mfikishie ujumbe kua anaharibu na sanna kwemye wizara yake afanye ambacho tunaweza kumsifia hawezi kufanya maisha magumu sababu ya umeme kisha tukamchekea
 
sio kweli katika kitu ambacho nadhani hata vyama vingine vimeshindwa kufuta ukabila na udini, kwa hili cm wamefanikiwa ila haya mengine wameshindwa
 
Kama Nyerere mwenye Tanzania yake alishindwa kumaliza tatizo la Umeme unategemea Makamba atalimaliza?

mwacheni kijana apambanie Ndoto yake

Sheikh Msabaha juzi nimemsikiliza mawaidha yake anasema Siku hizi ni ngumu sana Sheikh kuzaa Sheikh kama ilivyokuwa zamani ila imekuwa rahisi zaid Rais kuzaa Rais …akatuachia tafakuri hiyo tujiulize why?
 
unasema hata nyerere hakiweza alipoteulowa kalemani kua waziri wa nishati mpaka magufuli anakufa umewwhi kusikia malalamiko ya kukatika kwa umeme? mbona aliporudi yeye tu umeme unakatika na hajali hana uchungu na maendeleo ya wananchi isipokua anauchungu na tumbo lake na mabosi zake
 
Back
Top Bottom