Jibu ni ndio
1. Nishati
2. Habari
3. Ardhi
4. Utalii (kwa sasa)
5. Mambo ndani
6. Chakula
7. Kibubu cha hazina
Nk
Anayewagusa kwa nia ya kuondoa tonge anauwezekano wa kuungua mikono, kupata upofu wa macho na akili kuparaganyika
Mhimili uliojichimbia hauwezi, mhimili wa kutunga sheria hauna ubavu na mhimili wa kutafsiri sheria na kuamua changamoto zake utapata kigugumizi. Wenye macho ambao hawaonekani nao wanakwepa na wenye virungu ndo hawathubutu hata kidogo. Wenye mizinga hawajiingizi kwenye masuala ya wanasiasa. wananchi nafasi yao ni kupiga kelele ambazo haziwezi kuzingatiwa.
*Mwenye uwezo wa kumgusa yeyote mwenye mwili wa nyama au upepo ni Mungu aliye hai pekee sio uganga wala majini saba!!!!! Milima ya kule juu ina balaa usipime mtu anatumbukizwa ndani ya pipa linalotokota kwa joto kali anatolewa bila jeraha lolote utamkaribia kumgusa?