Ni kweli kuku ana sumu kali kuliko nyoka?

Hii mada kama ilivyo ni ngumu sana

Usiku wa manane hapana. Kuku hata mchana akimdonoa nyoka lazima afe ndugu yangu. Na kawaida anaemuwahi mwenzie lazima afe. Kwa binadamu hapo cna hakika kama inamdhuru au la

hii ya nyoka ni kweli niliwahi kushuudia mkuu...alikuwa ni kuku mwenye vifaranga akatokea nyoka mmoja mkubwa hivi basi yule kuku akawa anamrukia yule nyoka kwenye kichwa chake...alimrukia mara kadhaa tu kabla nyoka ajapiga mueleka mkubwa na kugeuka kitoweo cha mama na wanae
 
ngoja wataalamu waje nami pia nahitaji kujifunza kitu hapa.
Tena wataalamu wa ecolojia / ecology kabisa, ila kwa elimu ya biology yangu ya form IIIB naweza kusema si kweli bali HIZO NI FUNUNU vinginevyo Singida kwenye kuku wengi kila siku kungekua na misiba
 
Kwa hiyo akishasikia ni binadam ndio hakudonoi?sijui ni kwa nini uongo na uzushi huenea kwa kasi na haraka kuliko ukweli.

Hakuna kitu kama hiyo mkuu,huo ni uongo na uzushi mkubwa,nyoka kitaalam ana mishipa baadhi ya sum sio mwili wote,je kuku hiyo sumu inakaa wapi?.

kwa hiyo mkuu unabisha ukiwa na uhakika au unabisha kwa kuwa hujui sumu ya nyoka inakaa sehemu gani mwilini mwake?
 
NOT TRUE! kuku anapomshambulia nyoka humdonoa donoa kiasi cha kumpasua pasua,UPANDE wa nyoka yeye hufanya single bite na kuku hubakia akipepesuka! kama kuku angekuwa na sumu mean angempa nyoka single bite aendele na taratibu zingine!
 
mm sioni why mnabisha kiukweli kila mnyama na mmea huwa unakuwa na namana ya kujilinda na adui.
defenc mfano kinyonga kubadilika rangi.
mpera kutereza na mengine mengiiii.

sasa kwakuku nikweli kuwa akikudonoa au kukukwaruza na kucha kiukweli ni hatari sana.

sio mda wote kuku akikudonoa unadhurika Bali Mara NYINGI wakati wa usiku na hasa akiwa kalala na kuku mwenye vifaranga na mayai ni hatari zaidi .kwani usiku huwa care anajua mda wote adui zake wanavizia mayai au vifaranga
 
Niliwahi kumsikia mtaalamu mmoja anasema hata mate ya binadamu mwenye hasira huwa na sumu kali kuliko ya nyoka aina ya cobra.
nilishangaa sana.
so hayo ya kuku huenda yana ukweli.
 
ni kweli kuku ana sumu kali na ukibahatika kuguswa nae ukweli hana matibabu lkn ikumbukwe ni aghalabu sana kumdhuru binadamu inashauriwa ukimfuata wkt wa usiku uwe na taa ama kuguna ili akutambue km ni binadamu ukitaka mf. mkute amelalia mayai/watoto thn mvamie hlf tuletee jibu nb: sumu yake haina tiba!!!!!
 
mm sioni why mnabisha kiukweli kila mnyama na mmea huwa unakuwa na namana ya kujilinda na adui.
defenc mfano kinyonga kubadilika rangi.
mpera kutereza na mengine mengiiii.

sasa kwakuku nikweli kuwa akikudonoa au kukukwaruza na kucha kiukweli ni hatari sana.

sio mda wote kuku akikudonoa unadhurika Bali Mara NYINGI wakati wa usiku na hasa akiwa kalala na kuku mwenye vifaranga na mayai ni hatari zaidi .kwani usiku huwa care anajua mda wote adui zake wanavizia mayai au vifaranga

Maelezo yako yamenishawishi kuamini usemacho
 
Elimu na iwe msingi wa kujitambua, kuchambua na kujenga hoja kwa mantiki sahihi.
Ninachoona mimi ni kilekile,, tunaishi kwa Gossip!! we kama kuku ana sumu zaidi ya nyoka ungeweza kula kichwa chake? just by simple reasoning, inawezekana? eti ugune ajue we ni binadamu, kwani binadamu hawezi kumdhuru?
Akili ndogo isiachwe itawale akili kubwa, elimu sio kujua kusoma ama kutengeneza magari etc, iwe njia ya kupanua uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja.
mk1
 
nimekubali mkuu....asante sana
 
mkuu hata nyoka ana sumu kali lakini analiwa
 
Niliwahi kumsikia mtaalamu mmoja anasema hata mate ya binadamu mwenye hasira huwa na sumu kali kuliko ya nyoka aina ya cobra.
nilishangaa sana.
so hayo ya kuku huenda yana ukweli.

mkuu unaweza kuthibitisha maneno yako kwa mfano hai japo mmoja tu!?
maana tunaona kila siku El Hadji Diof akikasirika uwanjani anawatemea mate wenzie
 
Mkuu hebu soma tena nilichosema hapo kwenye red.
 
Sio kweli kuku hana sumu labda bacteria mdomoni ambao wanaweza kuleta maambukizi kwa binadamu. hizo nyingine ni hadithi tu za mtaani
 
Back
Top Bottom