BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
Waulize walokuzalisha watakwambia uzuri wako ni nini? Na kwa stllye hiyo saau kuolewa kabisa. Watoto 4 kila mtoto na baba yake??? Duh!
Club gani hizo?Sio hivyo; mwanzoni tuliwatokea warembo wakaleta za kuleta - tukawadis. Sasa hivi tunakutana nao Club tunawaomba kukumbushia na kuwaacha vyumbani - tunarudi kwa wanandoa wetu - HIYO NDO HABARI YA MJINI.
Ukienda Club huwezi kumkuta mke wa m2 (labda aloshindikana); utawakuta warembo kibao - unafikiri ni kwa nini???
Kuhusu we kutotaniwa; mda wako bado; kila jambo na wakati wake.
rafiki...... hapo red ilikuwa zamani au kwa sasa ina-apply kijijini.....
mjini hai-apply, lol!
Sio Malaya tu; hata akili zao ni mbovu; wanafikiri kusumbuliwa kwa kutongozwa mara kwa mara ndo mafanikio katika maisha. Ukifuatilia mara nyingi wanawake ambao ni wa kawaida kimvuto mara nyingi wana mafanikio kimaisha zaidi ya wale wanaojifanya warembo.
Nitawapeni kisa kingine bandugu ili kudhihirisha haya niyaandikayo .... ebu tuendelee ...
heheheeheh mpe makavu live twin wangu hiyo ni khabari ya kijijini mujini kila mtu mrembo na mtotoclub gani hizo?
Huwa unafanya roll-call?
Kwani wake za watu siyo warembo?
Kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. Siku hizi kujikalisha kizee kunahu? Watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
Cc. king'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, kaunga, mwaj, nivea, ablessed, nyamayao, kipipi, dada white badili tabia.....
Teh ... Teh ... Teh ... Teh ... mbavu zangukama unamiss mavitu ya X wako halafu unajidanganya kwamba you are 'happily married' then there must be something wrong with you na ndio maana naona huna sifa ya kuwa HUSBAND.
and by the way, huyo X naye ANAKUTUMIA; na ametumwa na shetani ili avuruge ndoa yako so usijione bingwa sana kumbe ni victim tu pale kuliko hata huyo X ambaye hajaweka covenant na mwanadamu mwingine (mume)
Teh ... Teh ... Teh ... Teh ... mbavu zangu
Kumbe ulikuwa unatafuta pa kuanzia kuniponda eh?
ha haaa, hawa ndugu wa kiume hata hawaeleweki......sasa rafiki, kama wazuri hawaolewi (wakiume wengi wamesupport hii) kinacho apply mujini ni nini? au na wenyewe wanataka pesa?????
Wana Jf,
Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa cha habari kama ifuatavyo.
Kuna imani kubwa katika jamii na ni mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wakiongea kwa wakati na mahali mbali mbali kuwa asilia kubwa ya wanawake wazuri hawaolewi.
Mie sielewi kama ni kweli ama ni uongo. Nawasilisha kwenu wadau mnipe mawazo yenu kama mnakubaliana ama kukataliana na hili.
Nawapenda nyote,
Asanteni.
wewe ulishatendwa sio bure; huwezi kuwa bitter kiasi hicho! au la mkeo mbaya ka MIMI. LOL
umeona eeeh!heheheeheh mpe makavu live twin wangu hiyo ni khabari ya kijijini mujini kila mtu mrembo na mtoto
wee ni mzuri?
NiPM nikuoe mara moja ili ukawaambie kuwa ni waongo
limekupata la wapi kisogoni au puani!
Unajua nini; huwa mnajidanganya sana mnavyosema mnawatumia wadada (for your damaged ego l suppose); ukweli unabaki kuwa mnatumiana; na huenda yeye akakutumia zaidi.
ha haaa, hawa ndugu wa kiume hata hawaeleweki......
tuwaache tu kama walivyo, maana kujitahidi kuwaelewa uta-go crazy......
wanasema wanachagua wabaya ndo wanatuweka ndani, ili wasiibiwe.....
cha ajabu tunawazalia watoto warembo wanazurura nao mitaani na kuweka picha wa watoto wao kila sehemu.....
ukiwakuta club wanasema wanakumbushiana na warembo wa zamani ( Tutor B) sababu mke ambaye unamwona si mrembo anakuwa yupo home kalala...... ukitoka kwa mrembo huko chumbani unarudi home kwa mamsap unaendelea na kazi......
hapa panaeleweka kweli rafiki?
leo umeamua ... ila mbona nawe umekuwa bitter zaidi yangu?
umeona eeeh!
yeye akikutana na warembo kwa stage anadhani wote single..........
mujini kila mtu mrembo mwayego
Ndo maana yake. Ukitaka kuamini hudhuria harusi then angalia couples - kila m2 na mke wake halisi (hachana na wale wanaokuja na vimada). Isitoshe angalia hata wanaofunga ndoa kila wiki uone ni mzuri gani utamwona anafanya hivyo.
Tukisema tuwataje warembo / wazuri kwa hapa nchini wanajulikana; je! wameolewa au wapo tu mitaani wamegwa kiaina?