unajua mtu unaweza kuwa na degree ukawa huonekani kama una degree. Hii inatokana na kuipata kwa kukariri na si kupata maarifa. Mi nafikiri huyu jamaa aliipata kwa kukariri ndo maana mnamuona kama hana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.