Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

40564942-tumblr_mx5dd8Z1JP1smyb0ko1_1280.png
Kumbe urastamani ndiyo haswaa dini murua kabisa!

Itoshe kusema sio kundi hili wala kundi lile lakini mtu atakayefuata njia hiyo na kuiiishi, ataokoka.
 
Hayo ni mambo ya kidini yanayomhusu Muislaam... Kwa sababu maandiko ya kiislaam yapo katika lugha ya kiarabu... Hivyo... Ili uweze kuyasoma kuyaelewa na kuyatumia... Inakulazimu ujue kiarabu kwanza...

Kama ilivyo kwa kiingereza... Ili uweze kufanya biashara na waingereza lazima ujue kiingereza... Kadhalika KICHINA na lugha zinginezo...

Lakini ulivyosema si hivyo mnavyosema juu ya chuki zenu juu ya uislaam tu... Kiarabu ni lugha tu kama lugha zingine...
Ila huwa mnajidanganya tu. Waislam wa huku sub saharan Africa mmekariri tu quran na hadithi tu zilizoandikwa kwa kiarabu.

Kuhusu kukijua kiarabu chenyewe hamkijui hata kidogo. Namaanisha akija mwarabu hauwezi kuongea nae lolote hata kuomba maji ya kunywa huwezi.
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Mimi nadhani huu ni msisitizo kwa waumini wa dini husika kuitunza IDENTITY ya asili ya DINI Yao.
Kwasababu, MUNGU anajua yote na anao uwezo wa kubadili chochote kuwa chochote.
 
Acha ujinga. Kwahiyo Mtume Muhammad (S.A.W) hayupo peponi? We vipi?
Swali zuri,
Muhammad kabla ya kufa alisema hajui aendako wala atakachofanyiwa siku ya hukumu
Quaran 46:9 " I do not know what shall be done with me or with you. "

Haya maneno angeyasema Yesu , tusingekuwa na Imani naye coz anafanya kitu asichokijua.
Yesu alichokisema ni hiki
Yohana 14:6 " Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi "

Na ikumbukwe Yesu ndiye atahukumu ulimwengu ( Muhammad ) na sio MUNGU Baba ndiye atakayehukumu
 
Hujamalizia mkuu alivyoingia kwenye sinagogi alisoma Quran baada ya kumaliza kuswali, na wasichokijua Yesu alikuwa anaswali swala 5 na alikuwa na sijda
Hata wale wanaoitwa wanafunzi wake wote walikuwa waislam na walikuwa wanaenda wote kuhiji Makkah
Sababu hiki ulichokiandika umekiandika kwa mzaha na kebehi, sina haja ya kukuomba ushahidi.

Qur'aan amekuka nayo Mtume Muhammad, Yesu alipewa Injili. Yesu na manabii wengine walipewa sheria zao ila wote walikuwa na imani moja na jukumu moja.

Manabii na mitume wote ni Waislamu, na wafuasi wao walio watii na kuwaamini ni WAISLAMU vile vile. Hili kubali ukatae, cheka unune ukweli uko hivyo.
 
Yohana 14:6 " Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi "
Unaweza kuthibitisha haya maneno ni ya Yesu na aliyasema yeye.

Kingine haya maneno hayaonyeshi kwamba Yesu naye anajua kila kitu
 
Yesu yeye atakahukumu kama nani ? Yesu yeye ni nani ?
Kwa mujibu wa Biblia , Yesu ndiye atakeuhukumu .
Siku ya mwisho ya kurudi Yesu duniani , ni kuja kufufua waliokufa na kuhukumu.

Mamlaka ya kuhumu katoa kwa MUNGU
Matendo 17:31 " Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua (Yesu). Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka kwa wafu!( Yesu )
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Huu ujinga ndo maana tunatakiwa kupata elimu.🤣
 
Mungu yupi?

Pepo ipi?

Haya maswali ndio yanafanya mtoa mada awe sahihi au sio sahihi!

Ila kwangu mimi lugha haina umuhimu kwa upande wangu kwenda peponi nahitaji kulishika na kulikiri jina YESU KRISTO
Kulikiri na kulishika jina flani ndio kwenda peponi kweli kuna mijitu bado ni mipumbavu

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allan) amesema nyakati za mwisho ujinga utashamiri baada ya elimu.

Hata ndio lugha ya peponi sio sababu ya mtu kuacha kusoma lugha nyingine.
Kwahiyo umekubali kwamba ni lugha ya peponi ila watu wasiache kusoma lugha nyingine,huo pia ni ujinga

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri,
Muhammad kabla ya kufa alisema hajui aendako wala atakachofanyiwa siku ya hukumu
Quaran 46:9 " I do not know what shall be done with me or with you. "

Haya maneno angeyasema Yesu , tusingekuwa na Imani naye coz anafanya kitu asichokijua.
Yesu alichokisema ni hiki
Yohana 14:6 " Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi "

Na ikumbukwe Yesu ndiye atahukumu ulimwengu ( Muhammad ) na sio MUNGU Baba ndiye atakayehukumu
apo ametumia hekima ili watu wasibweteke wafanye mema kwakuwa anayeamua hatima ya wewe wapi utaenda ni allah lakini ukweli alikuwa anaujua ni wapi anaenda baada ya kufa
 
Kwa mujibu wa Biblia , Yesu ndiye atakeuhukumu .
Siku ya mwisho ya kurudi Yesu duniani , ni kuja kufufua waliokufa na kuhukumu.

Mamlaka ya kuhumu katoa kwa MUNGU
Matendo 17:31 " Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua (Yesu). Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka kwa wafu!( Yesu )
yesu ni binadamu kama wewe hana uwezo wa kuhukumu nafsi yoyote iende wapi
 
yesu ni binadamu kama wewe hana uwezo wa kuhukumu nafsi yoyote iende wapi
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
Itim 6:15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme,

Koran 22:62. Hayo ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Wa Kweli,....
John 14: 6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uhai.

102. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu...

John1: 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.

Koran 3:135.....na nani anaye futa dhambi isipo kuwa Mwenyezi Mungu?........
Math 9:6Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anao uwezo duniani wa kuwasamehe watu dhambi.”....

Koran 22:69. Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu...
Math25:32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atawatenganisha watu kama mchungaji anavyotenganisha kondoo na mbuzi.

Koran 59:23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, ....
Luke 4:34“Una nini nasi, wewe Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakufahamu wewe ni nani. Wewe ni Mtakatifu wa Mungu!”
 
Back
Top Bottom