Kwanza hili andiko lina mabano kwa ndani yake kuna jina Yesu, maana yake huu ni ufafanuzi.Kwa mujibu wa Biblia , Yesu ndiye atakeuhukumu .
Siku ya mwisho ya kurudi Yesu duniani , ni kuja kufufua waliokufa na kuhukumu.
Mamlaka ya kuhumu katoa kwa MUNGU
Matendo 17:31 " Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua (Yesu). Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka kwa wafu!( Yesu ) ”
Kingine linajipinga kiuwezo sababu linaonyesha ya kuwa Yesu ni mtu na alikuwa alikufa. Unakubaliana na andiko hili katika upande upi ?
Kingine hiki kitabu cha Matendo kimeandikwa na nani na hii simulizi anaisimulia nani kutoka kwa nani ?