Rafiki yangu ni playboy mzuri tu, si hapa dar tu anapokaa, lkn pia hata sehemu mbalimbali za mikoani anazoenda ni yeye na mademu mademu na yeye.Nimemuuliza kitu kimoja ambacho kimenishangaza kidogo,swali nililomuuliza ni kwamba mchangudoa wengi anao wapata kwenye madanguro na barabara za kujiuza wanatoka mikoa gani?Jibu lake ni kwamba kuanzia ambiance pale corner bar,kuja meeda,kuelekea calabash mwenge na sun ciro,asilimia kubwa ya mademu anaowazoaga wanatoka kama sio Arusha basi Moshi,ni wachache sana wanatoka mbeya,dodoma,iringa na moro,hata bukoba ni wachache pia.Nikamuuliza we unajuaje kama wanatoka maeneo hayo?,akasema yeye anapo opoa milupo huwa hawatreat kama milupo kiivyo,huwa anawatreat with respect,ambapo huishia kuanzisha urafiki na story za maisha na hatimaye kujua maeneo wanayotoka,na saa ingine lafudhi zao pia humsaidia kujua.......Swali langu wana JF kama ni kweli huyu rafiki yangu anachokiiongea,nini chanzo changudoa wengi watoke mikoa ya Arusha na Moshi?
Background ya machangu ndoa, ni hata mama zao walikuwa wamalaya, na wamezaliwa ktk biashara hiyo.
Na utakuta mama na mwanawe wanafanya kazi hiyo hiyo ya kujiuza.
Na ni kweli machangudoa wengi utokea kaskazini mwa Tanzania.
Nilishuhudia pale kinondoni, nilingia nyumba ya wageni, full booked na machangudoa. Mie sikujua, asubuhi naamka, ndio nikaona cinema, wahindi wawili wakaingia, wale machangu wakaanza kuwagombania wale wahindi, mimi, mimi, mimi, mimi, akaja dada mmoja katoka chumbani kwake, mwenye umri kama miaka 40 hivi, yeye hakuvaa chupi alivaa shati tu refu hadi magotini akafungua vifungo, akamuita "muhindi angalia" na kumuonesha muhind k.u.m.a yake. Muhindi akapagawa macho yalimtoka na kufurahia, yule dada akamshika mkono muhindi na kumvutia chumbani. Wale wengine wakabakia kumgombania muhind alie bakia.
Ghafla akaja changu kwengine kapigwa madam uso mzima, wenzie wakamlaumu amezidi uchoyo kwenda peke yake, peke yake kujiuza, lakini wakamsaidia.
Ilipofika saa nne asubuhi akaja changu mwingine na kutangaza kifo cha mchangu wa miaka 19.
Changu mwingine akasikitika na kusema wamesha muua jamani, sie machangu tuna roho mbaya, mtoto mdogo na alikuwa nzuri sana kila customer alikuwa wanamtaka yule, na ndio alikuwa mpya hapa dar, anatoka kaskazini.
Changu mmoja mmama wa miaka kama 45 hivi, akanijia akaniuliza mwenzangu unatokea wapi, nikamuambia, na usiku unaingia mitaa gani? nikamshangaa, usiku?
yule mmama akauzunika akainamia chini aliona mie sipo kama wao, akaniambia twende tukanywe chai basi. Akaniuliza na miaka mingapi nikamuambia 21, akaniambia hata mtoto wake ana umri kama watu, hivi jana kaenda mitaa na hajarudi hadi saa hizi, utamuona!!!.
Hapo akanipa mkanda mzima kwanini amekuwa changudoa, hadi nikamuonelea huruma jamani, dada wa watu ni mtu nzuri ki moyo hadi sura, ila tabia tu ndio changudoa.
Tuliporudi hotel, tukamkuta mtoto wake karudi na kalala, akasema mwanawe kapumzika kachoka kazi ngumu. Na akaniambia kamwambia mwanawe afanye kazi peke yake ili mimama ilio kubu hisimue mwanawe sababu toto linauza sana hadi yeye mama kapumzika pesa inatosha.
Na ni kweli mtoto wake alivo amka, lilikuwa toto, sijui ilikuwa mix na rase gani jamani, mzungu si mzungu warabu si muarabu, jamani. Na hilo toto linauza kwa wahindi tu na waarabu, mama yake ndivo alivo mshauri sababu watanzania ni waaribifu, ubakaji.
Jamani, mie niliama ile hotel siku ile ile ingawa nililipia siku mbili, nilitamani kulia, nilio yaona hapo, huruma tupu.
Alafu hao wanawake wanamioyo mizuri sana ni wazuri sana kisura na maumbile pia, na ni kweli wanawake kutoka kaskazini makabila fulani hivi ni wazuri hasa. Na wakaniambia hiyo kazi wameanza tokea wadogo, kutafuta mali.
Sio hapo tu, hapo hapo dar nilienda kumtembelea shangazi yangu kaolewa, jerani alikuwa mwanamke kutoka tabora, anaishi na bwana kutoka Iringa. Akaniambia tukatafute kazi kiwanda cha petroum, njiani tunaenda akaniambia huko tabora maisha yalikuwa magumu, biashara ilikuwa haitoki, hivo alikuja dar kuendelea kujiuza ndio alikutana na yule bwana akijiuza muiinga, na akamuambia aache, ndio akaacha na kuishi nae, na akaniambia anaenda kwa waganga ili asiachwe na yule bwana. Ila marafiki zake wanaendelea kujiuza na wote wanatoka tabora wapo dar. nilipo enda kwa shangazi tena baada ya miaka 5 nikambiwa yule shoga yako hajulikani alipo na yule bwana wake kafa, nikaona ndio faida ya kuwa na changu, watakuloga ufe.
Na katika pita pita nilibahatika kukutana na machangu, na wote kutoka kaskazini.
so sijakutana na changudoa kutoka magharibi, wala mashariki na wala kusini.