Ni kweli Changudoa wengi Dar wanatoka Moshi na Arusha.

Rafiki yako gani we nyoosha maelezo vizuri kwamba ni wewe! Ndio tuendelee na topic
 
Haya maneno yako yanaukweli...hata radar zangu zinanipa matokeo kama yako
 
mi nilidhani ni wa kutoka kule kondoa na manyara si ndio mnasema ni vicheche kuliko kawaida jameni???
 
mmmmh makubwa haya,mi nilijua uchangudoa ni biashara ya wasichana wanaotoka familia ambazo hazijasoma,tena masikini,labda kama mikoa ya Dodoma,singida,mtwara na mingineyo iliyo nyuma kimaendeleo.!!!inakuwaje hii inakuwa kinyume chake??

weeee koma kama ulivokoma kunyonya matt ya mama ako tena ukome kabisaa kutaja mkoa wang kama ww hujasoma n peke ako,,sio wote,,,mwee shame upon u
 
hii sio kweli, findings zake hazina uhalisia unataka kusema hakuna machangu wanotokea tanga, dar au moro? labda it was just a coincidence kila aliyemchukua alikuwa anatokea rchuga or moshi akaconclude kumbe wanaotokea mikoa mingine wapo pia ila haitatokea akawapata
 
Research zinaonesha kwamba si machangudoa wote wanaotoka kwenye familia za kimaskini, kuna hadi mdada mwenye cheo kikubwa tu benk huwa anajiuza town......this issue of uchangudoa is very complex, si umaskini tu unaosababisha wengine ni fani yao

That is correct.
 
mmmmh makubwa haya,mi nilijua uchangudoa ni biashara ya wasichana wanaotoka familia ambazo hazijasoma,tena masikini,labda kama mikoa ya Dodoma,singida,mtwara na mingineyo iliyo nyuma kimaendeleo.!!!inakuwaje hii inakuwa kinyume chake??

usije ukaongea kama una ushahidi basi?? aliekuambia ni kweli nani, research ndo inazungumza,. kama amekuta wawil watatu ndo iwe moshi nzima na arusha nzima? hebu tusidhalilishane hapa bwana,. na kwa taarifa yako basi hata akitokea changu alieotokea pande hizo huwezi kumkuta eti kajianika barabarani hao ni kwenye makasino, mahotel na kumbi mbalimbali za starehe.lol am kidding ila nipo serious hapo kweli imeniuma maana mtu anaandika kama kweli ana ushahidi SI KWELI:A S angry:
 
hii sio kweli, findings zake hazina uhalisia unataka kusema hakuna machangu wanotokea tanga, dar au moro? labda it was just a coincidence kila aliyemchukua alikuwa anatokea rchuga or moshi akaconclude kumbe wanaotokea mikoa mingine wapo pia ila haitatokea akawapata
umeonaeee mi hadi namhurumia kwa kutumia nguvu nyiiingiiii..
 
weeee koma kama ulivokoma kunyonya matt ya mama ako tena ukome kabisaa kutaja mkoa wang kama ww hujasoma n peke ako,,sio wote,,,mwee shame upon u

acha kabisa, mwambie aisee maana imeniumaaa
 
Rafiki yangu ni playboy mzuri tu, si hapa dar tu anapokaa, lkn pia hata sehemu mbalimbali za mikoani anazoenda ni yeye na mademu mademu na yeye.Nimemuuliza kitu kimoja ambacho kimenishangaza kidogo,swali nililomuuliza ni kwamba mchangudoa wengi anao wapata kwenye madanguro na barabara za kujiuza wanatoka mikoa gani?Jibu lake ni kwamba kuanzia ambiance pale corner bar,kuja meeda,kuelekea calabash mwenge na sun ciro,asilimia kubwa ya mademu anaowazoaga wanatoka kama sio Arusha basi Moshi,ni wachache sana wanatoka mbeya,dodoma,iringa na moro,hata bukoba ni wachache pia.Nikamuuliza we unajuaje kama wanatoka maeneo hayo?,akasema yeye anapo opoa milupo huwa hawatreat kama milupo kiivyo,huwa anawatreat with respect,ambapo huishia kuanzisha urafiki na story za maisha na hatimaye kujua maeneo wanayotoka,na saa ingine lafudhi zao pia humsaidia kujua.......Swali langu wana JF kama ni kweli huyu rafiki yangu anachokiiongea,nini chanzo changudoa wengi watoke mikoa ya Arusha na Moshi?

bolding, hakuna ukweli wowote
 
bolding, hakuna ukweli wowote
sasa mbona unakataa? kwani we unaona hao machangu sasa wanatokea wapi? au hakuna wanakotokea? naamini lazima kuna sehemu wanakotokea maana wapo....mheshimiwaa anasema wanatokea arachga na moshi tusimpuuzeaana anaonekana ni mtaalamu ktk huduma hii...hata wewe ikitokea ukaopoa mademu kumi lakini katika hao kumi ukajikuta saba ni wa arachuga na moshi utajumuishaje?.....huo ndio ukweli ingawa mchungu kumeza!
 
what?S hole, taarifa za kuambiwa unakuja kuzfanyia tafiti hapa ... no reseach, no right to speak, n vema unapoanzsha ishu znazogusa utu wa watu ukafanya utaft wa ktosha ... vp kuhusu miji mingine mikubwa?In short ktokana na hali mbaya ya kiuchumi iliyosababishwa na utawala mbovu, Ufisadi, Dhuluma na maendeleo duni, ukahaba umekua ni miongoni mwa sehemu ya zile ajira zenu mlizoahidiwa na rais, hvyo bas dada zetu wengi wamekua ni wahanga bila kujali wanatokea Arusha au Moshi!Wengi wanafanya ukahaba ili tu waweze kujikimu na s vngnevyo...
 
Kuna research kabisa inayoonyesha kuwa machangudoa wengi ni wa mikoa ya kaskazini hasa Arusha hususani Mbulu na Kilimanjaro. Ni ajabu kwa kweli. Sijui ni mentality ya kibiashara au la!
 
Kwa kuwa wanajulikana mitaani kwao kuwa wana ngoma na gitaa, hivyo kwenda kuuza mkoa wa jirani ndo mpango mzima.
 
usije ukaongea kama una ushahidi basi?? aliekuambia ni kweli nani, research ndo inazungumza,. kama amekuta wawil watatu ndo iwe moshi nzima na arusha nzima? hebu tusidhalilishane hapa bwana,. na kwa taarifa yako basi hata akitokea changu alieotokea pande hizo huwezi kumkuta eti kajianika barabarani hao ni kwenye makasino, mahotel na kumbi mbalimbali za starehe.lol am kidding ila nipo serious hapo kweli imeniuma maana mtu anaandika kama kweli ana ushahidi SI KWELI:A S angry:
Kumbe wakijiuza maeneo hayo si mbaya! Mbaya ni wale wa barabarani tu. Hii nayo kali.
Kusema ukweli mademu wa Arusha ni hatari sana. Wanauza sana hapa Dar. Nawajua wengi tu ambao wanakuja huku hasa kwa kujiuza. Wanadai huko Arusha wameshawazungukia wanaume wengi tu hadi wamejulikana kwa hiyo hata bei imeshuka sana. Arusha ndogo, viwanja vile vile! Dar kubwa halafu wanaume wanawashobokea sana mademu wa Arachuga. Wengi wao wamepitiwa na wanaume wenye pilipili. kwahiyo wanakwepa scandali.
Kumbe na wewe ni wa Arachuga. Naona imekugusa sana hii
 
sasa mbona unakataa? kwani we unaona hao machangu sasa wanatokea wapi? au hakuna wanakotokea? naamini lazima kuna sehemu wanakotokea maana wapo....mheshimiwaa anasema wanatokea arachga na moshi tusimpuuzeaana anaonekana ni mtaalamu ktk huduma hii...hata wewe ikitokea ukaopoa mademu kumi lakini katika hao kumi ukajikuta saba ni wa arachuga na moshi utajumuishaje?.....huo ndio ukweli ingawa mchungu kumeza!

wewe wasema, bolding, wakat mwingine uwe makini kujua either huyu ni mwanamke au mwanaume,. hata kama kusoma hujui hata picha huoni??
 
Back
Top Bottom