kumbe changudoa na malaya ni vitu viwili tofauti.
Yes ni vitu viwili tofauti. Lakini vinafanana.
Kama unajua tofauti ya mwizi na jambazi.
Au tofauti ya kibaka na mwizi.
Au tofauti ya tapeli na mlaghai.
Na changudoa ni wale watu wa cash, hauna cash sepa.
Changudoa ujitembeza barabarani, sehem za starehe kujiuza,
na wanauwezo wa kufanya mapenzi hata na watu 15 kwa siku.
Na changudoa hachagui mtu, hachagui umbile la mtu, wala hali ya mtu ama afya ya mtu, haimuhusu yeye cash.
Machangudoa wengi ufanya mapenzi na watu masikini, viziwi, mabubu, viwete, na wazee.
Yaani wanaume wenye matatizo kupata wanawake uenda kwa machangudoa.
Ukimpa changudoa laki 5 cash, fanya mapenzi na huyu maiti, mbwa, ama paka atafanya.
Yaani unaweza ukamnunua changudoa na ukamuambia afanye mapenzi na rafiki yako, houseboy wako nk.
Hata ukimuambia changudoa mupo watu 7 na wote munamuitaji siku ile, yupo teyari afanye na nyie vyote kwa zamu, mukimpa cash na nyingi.
Changudoa wapo hatarini kuwawa, wapo teyari kuua, na wengi wamewai kuua.
changudoa ni wezi na majambazi vile vile. Kila dil la pesa hawaliachagi.
Malaya hawapo hivo.
Malaya ni wale wanao penda kubadilisha badilisha wapenzi mara kwa mara. Leo yupo na huyu kesho na yule. Uwa kimapenzi na wengi kwa wakati mmoja. Utakuta mtu anawapenzi wa 5, na wa short time, na wa kudumu.
Malaya anaangalia uwezo wa mtu, umbile la mtu, afya ya mtu, na shughuli ya mtu.
Malaya haombagi pesa cash, na wala hamuahidiani umpe kiasi gani.
Malaya munaweza mukapika mukala, mukawa mke na mume lakini yeye atakuwa na wengine tu pembeni. Kuna dizain nyingi za umalaya.
Nyumba ndogo nyingi ni malaya.
Hiyo ndio tofauti nayo ijua me