Ni Kweli Bikra Zimeadimika Kiasi Hiki?

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,314
Hiyo ndio hali halisi. Kwa sasa kila kijiwe ninachopita vijana wanalalamika ni vigumu sana kupata hii kitu inaitwa bikra hata kwa mabinti wabichi kabisa.

Imezoeleka vijana wengi wa kiume wakibalehe huanza kujionjesha utamu wenyewe a.k.a puchulization, lkn huenda hii tabia imehamia kwa mabinti pia.

Swali langu ni kweli hii kitu imeadimika kiasi hiki? Wale wataalamu wa kugusagusa kama Zero IQ hebu mtupe majibu.
Screenshot_20190817-133314.jpeg
 
Yeah
uliowapa ww, haikua bure ?
alinisubiri miaka na room nlikua nakaa nae but hakuwai niforce mbka siku nilipoona sasa nimeridhia nikampa isingekua tofauti ya dini angenioa yeye yuko smart sana namkubali mbka kesho..alisema kama ntabadili mawazo nikakubali kubadili dini atanioa but ndo ivo mi siwez...ila kifupi hakua na kasoro kwangu..tulikua marafiki tangu nikiwa primary badae ukawa uchumba nilipomaliza secondary nikamtunuku nimuache kwa amani mana ni zaidi ya mwanaume yule dah...sujutii.
 
Mnaolilia bikra hivi mnajua mwanamke hua anakua na nguvu sana? Siyo nguvu ya kushawishi hapana, nguvu ya kukusukuma baba wa kilo 84 ukaanguka toka kitandani hadi ukaparamia feni?

Kutana na binti ana uzoefu wake mnakula vyombo smoothly haya mambo ya mieleka kwanza ndiyo tunda liliwe mimi siwezi.
 
Hiyo ndio hali halisi. Kwa sasa kila kijiwe ninachopita vijana wanalalamika ni vigumu sana kupata hii kitu inaitwa bikra hata kwa mabinti wabichi kabisa.

Imezoeleka vijana wengi wa kiume wakibalehe huanza kujionjesha utamu wenyewe a.k.a puchulization, lkn huenda hii tabia imehamia kwa mabinti pia.

Swali langu ni kweli hii kitu imeadimika kiasi hiki? Wale wataalamu wa kugusagusa kama Zero IQ hebu mtupe majibu.View attachment 1183711
Hahaha
 
Mnaolilia bikra hivi mnajua mwanamke hua anakua na nguvu sana? Siyo nguvu ya kushawishi hapana, nguvu ya kukusukuma baba wa kilo 84 ukaanguka toka kitandani hadi ukaparamia feni?

Kutana na binti ana uzoefu wake mnakula vyombo smoothly haya mambo ya mieleka kwanza ndiyo tunda liliwe mimi siwezi.
Saaah nimecheka sana afu nipo kwenye daladala jombaa
 
Mnaolilia bikra hivi mnajua mwanamke hua anakua na nguvu sana? Siyo nguvu ya kushawishi hapana, nguvu ya kukusukuma baba wa kilo 84 ukaanguka toka kitandani hadi ukaparamia feni?

Kutana na binti ana uzoefu wake mnakula vyombo smoothly haya mambo ya mieleka kwanza ndiyo tunda liliwe mimi siwezi.
Saaah nimecheka sana afu nipo kwenye daladala jombaa
 
Yeah
alinisubiri miaka na room nlikua nakaa nae but hakuwai niforce mbka siku nilipoona sasa nimeridhia nikampa isingekua tofauti ya dini angenioa yeye yuko smart sana namkubali mbka kesho..alisema kama ntabadili mawazo nikakubali kubadili dini atanioa but ndo ivo mi siwez...ila kifupi hakua na kasoro kwangu..tulikua marafiki tangu nikiwa primary badae ukawa uchumba nilipomaliza secondary nikamtunuku nimuache kwa amani mana ni zaidi ya mwanaume yule dah...sujutii.
huu ujinga wa dini unawapotezea sana watu wa muhimu mungu ni mmoja kwanini tutengane kisa dini?
 
Back
Top Bottom