Ni kwanini usipooa watu wanauliza sana maswali?

Mashauri ya Hekima Kuhusu Useja na Ndoa

“Nasema jambo hili . . . ili niwasukume ninyi kwenye lile linalofaa na lile linalomaanisha kumhudumia Bwana daima bila kukengeushwa fikira.”—1 KOR. 7:35.

1, 2. Kwa nini mtu anapaswa kutafuta mashauri ya Biblia kuhusu useja na ndoa?

KUSHUGHULIKA na watu wa jinsia tofauti ni kati ya mambo machache maishani ambayo yanaleta furaha, mahangaiko, au kuvunja moyo. Kwa kuwa tunahitaji kupambana ifaavyo na hisia hizo tofauti-tofauti, hiyo ni sababu nzuri ya kutufanya tutafute mwongozo wa Mungu. Mkristo ambaye ametosheka kuwa mseja huenda akahisi kwamba familia au marafiki wake wanamsukuma aoe au aolewe. Huenda mwingine anapenda kuoa au kuolewa lakini bado hajapata mwenzi wa ndoa anayefaa. Wengine wanahitaji mwongozo ili kujitayarisha kutimiza madaraka ya mume au mke. Na Wakristo wote waseja na wale waliofunga ndoa wanajaribiwa kuhusiana na maadili yanayohusu ngono.

2 Hali hizo zinaweza kutufanya tupoteze furaha na pia msimamo wetu mzuri mbele za Yehova Mungu. Katika sura ya 7 ya barua yake ya kwanza kwa Wakorintho, Paulo alitoa mwongozo kuhusu useja na ndoa. Kusudi lake lilikuwa kuwachochea wasomaji wake kwenye “lile linalofaa na lile linalomaanisha kumhudumia Bwana daima bila kukengeushwa fikira.” (1 Kor. 7:35) Unapofikiria mashauri yake kuhusu mambo hayo ya maana, jitahidi kuona hali yako kuwa nafasi ya kumtumikia Yehova kikamili zaidi, iwe wewe ni mseja au umefunga ndoa.

Uamuzi Mzito wa Kibinafsi

3, 4. (a) Nyakati nyingine, ni matatizo gani yanayoweza kutokea ikiwa marafiki au watu wa ukoo wanamsukuma mtu afunge ndoa? (b) Shauri la Paulo linaweza kutusaidia jinsi gani kuwa na maoni yenye usawaziko kuhusu ndoa?

3 Kama Wayahudi wa karne ya kwanza, tamaduni nyingi leo zinakazia kwamba ni jambo la maana sana kufunga ndoa. Ikiwa kijana mwanamume au mwanamke anapita umri fulani bila kufunga ndoa, huenda marafiki na watu wa ukoo wenye kujali wakahisi kwamba wanapaswa kumpa mashauri fulani. Katika mazungumzo, huenda wakapendekeza kwamba atafute mwenzi wa ndoa kwa bidii zaidi. Huenda wakamdokezea kuhusu mtu fulani wa jinsia tofauti ambaye anaweza kuwa mwenzi mzuri wa ndoa. Wanaweza hata kutumia njia za werevu ili kuwakutanisha waseja wawili. Nyakati nyingine matendo hayo yanaweza kusababisha aibu, kuharibu urafiki, na kuumiza hisia.

4 Paulo hakuwasukuma kamwe wengine wafunge ndoa au wabaki waseja. (1 Kor. 7:7) Paulo alitosheka kumtumikia Yehova bila mke, lakini aliheshimu haki ya wengine ya kufurahia ndoa. Leo pia, kila Mkristo ana haki ya kujiamulia mwenyewe kufunga ndoa au kubaki mseja. Wengine hawapaswi kuwasukuma waseja wafunge ndoa au wasifunge ndoa.

nadhani hapa utakuwa umeelewa kitu.
 
Lakini unakuwa hut.ombi au hutomb.wi?,kama unaweza kupata wa kumfanya hivyo au kukufanya kwanini usioe/usiolewe.
Hali hiyo ya kutotaka kuoa na kutot.omba ni ya mahanithi tu.

Ndiyo maana nikasema kwamba tatizo tuna IQ ndogo na maadamu na wewe ni Mtanzania basi unaangukia kwenye hilo kundi, kwa hali ya kawaida maisha ya mtu mwingine hayakupaswa kukuhusu wewe, kama matu xyz hajaamua kuoa au kuolewa ni kwa nini ikuudhi mpaka ufikie mahali pa kumuita majina?
Yaani wewe unapungukiwa na nini mtu xyz akioa au aipooa?
Najua ni swali gumu kwako kulijibu hivyo siyo kukutendea haki kukuliza swali kama hilo lkn nina uhakika vizazi vyetu vijavyo IQ itakuwa imeongezeka na wataelewa kwamba kila binadamu anakuja hapa Duniani tofauti na ahaki kuishi apendavyo bila ya kuhukumiwa!
 
kama unaimani ya dini tambua.maandiko yanasema"nendeni mukazaane muijaze dunia"na hapo pana misingi ya kuijaza na taratibu za kufuata.
Tofauti ya binadam na mnyama kiimani ipo sehemu nyingi,lakini mojawapo ni katika mahusiano na kuzaliana,sisi tunaoa wao wanapandana tu hata mtoto anapanda mama.
IQ unayoizungumzia na kwako ni fupi zaidi
 
Lakini Maandiko hayo hayo pia yanasema usimuhukumu Binadamu mwenzako, sasa ni nani alikupa haki ya kumuhukumu aliyeamua kuishi bila ya kuoa au kuolewa wakati maandiko yamekataza?

Ni kwa nini iwe kazi yako kumuhukumu ambaye ameamua mwenye kwa hairi yake kutokuoa?
 
Kumekua na mitindo isiyofurahisha ya watu kuwa na maswali mengi endapo mtu ameamua kuishi single maisha yake yote, na hajaingia kwenye daraja la utawa. Wakati kwa wenzetu races zingine, ni kawaida kuna wengi nimewaona na heshima zao wameamua kubaki single.

Lakini maswali ya watu hua yanawakera sana.Na huwa wanayachukia sana.Je kuwa kwenye mahusiano ni jambo la lazima au ni utamaduni ambao lazima ufuatwe?Mfano hata kwenye siasa ni silaha ambayo hutumiwa sana na rivals. Why?
Kawaida tu mkuu. Nikama vile mnavowasakama wanawake wasiiolewa wakati mnajua kila mtu ana maamuzi yake.
 
Lakini Maandiko hayo hayo pia yanasema usimuhukumu Binadamu mwenzako, sasa ni nani alikupa haki ya kumuhukumu aliyeamua kuishi bila ya kuoa au kuolewa wakati maandiko yamekataza?

Ni kwa nini iwe kazi yako kumuhukumu ambaye ameamua mwenye kwa hairi yake kutokuoa?
wasiotaka kuoa kwakuwa mahanithi siwezi kuwahukumu kwakuwa uwezo wa kufanya tendo hawana,kama na wewe hanithi nakuweka katika kundi hilohilo,ila kama ni rijali huoi na unashiriki tendo huna haja ya kukaa bila ndoa,na usipoitaka ndoa usitamani.
ni kwa misingi hiyo tu sitaweza kumnyooshea mtu kidole na vinginevyo,wekeni baya kuwa nyinyi ni mahanithi.
 
Ndiyo maana nikasema sisi WatanZania ni simple minds kama vile wewe ulivyo na akili zetu ni kama za watoto wadogo unafikiri maisha ni black and white yaani isipokuwa hivi basi ni lazima iwe vile, hapana haya maisha ni zaidi ya hapo yanakwenda mbali zaidi, lkn kukulaumu siyo kukutendea haki kwa maana siyo kosa lako!
 
inaonyesha huelewi nini maana ya neno imani,mwenye imani yeyote hawezi kuacha kuifuata kwasababu za kupumbavu kama zako.
Unaandika tu neno IQ wakati yakwakp no ndogo sana kiasi kwamba haionekani kwa macho(micro IQ).
Wanadamu duniani kote wanaishi kwa nadhalia mbili tu.
1)-Phylosophical Idealism(nadhalia ya woga),ambayo ndiyo imechukua sehemu kubwa ya watu,msingi wake mkubwa ni elimu ya dini(theology)kundi hili linaamino kuwa kuna maisha baada ya kifo,na ndiyo wakati wa hukumu,kulipwa kutokana na ukivyoishi.Katika hii dini ndimo tunapopata mafunzo namna ya kuishi kwa imani,kwahiyo wewe kama huna dini huwezi kuwa mwanachama wa hili kundi la wengi ni lazima uwe na kundi la wenzio mahanithi ambao munauficha uhanithi wenu,maana katika hili kundi hata hanithi asiyeficha ameelekezwa namna ya kuishi.
Hata asiyetaka kuoa kwa makusudi kama unavyotaka kutuaminisha wewe kuwa upo hivyo pia anayo maelekezo ambayo ni KUTOTAMANI,ambayo kwa rijali kama mimi ni ngumu,ndiyo maana tunaoa.
2)-PHYLOSOPHICAL MATERIALISM(nadharia ya uyakinifu)hii msingi mkubwa ni mali,watu wa kundi hili wengi waliasi imani,wao hawaamini kama kuna maisha baada ya kifo,hivyo kupata kukosa ni hapa hapa duniani.
Memba wa kundi hili hawachelei kufanya chochote,hata ikibidi kuua ili wapate mali au pesa kwao ni sawa. hawana misingi ya imani yoyote lakini bado wanaoa/wanaolewa.
wanachojua ni kuisho watakavyo tu na si atakavyo mungu,nakuona kama ulitaka kingia hapa lakini pia hawa wanaoa hata kimila tu.
 
Unarudi pale pale nimekwambia kwamba maisha siyo black and white kama unavyofikiria, na ni lazima uelewe kwamba kila mtu anakuja hapa Duniani tofauti, hatufanani kabisa na ndiyo maana kuna watu anaweza kupanda PPF tower juu kabsa akaning'inia huku akisafisha vioo bila shida yoyote ile wkt mtu mwingine ni bora afe klk afanye hivyo!
Vivyo hivyo kwenye mahusiano siyo kila mtu anaweza kuishi na mtu kuna watu hawana uwezo wa kuishi na mtu wako hivyo na kwa wao hawaoni kama wanamapungufu yoyote yale maishani mwao, sasa kwa kuwa kwako maisha black and white ndiyo maana unataka kulazimisha kila mtu ni lazima aoe au aolewe, HAPANA!

Binadamu tuko tofauti sana tu!
 
Kumbe Barbarosa una pointi za maana sana unapozungumzia mambo yasiyo ya kisiasa, kweli siasa ni mchezo mchafu.
Kwa sababu sisi WatanZania ni kama watoto wadogo, yaani akili zetu na hii ni karibia wote tuishio hapa Bongo hazijakomaa, kwa kifupi tuna IQ ndogo hilo ndiyo jibu sahihi na ndiyo maana unaona tunapoteza muda kwenye mambo yasiyo na maana na yasiyotusaidia!

Kwa maana mtu mwenye IQ kubwa anaelewa kwamba kila binadamu yuko tofauti na haiwezekani wote tukawa sawa hivyo kuna watu ambao wanazaliwa na hawawezi kuishi na mtu yaani hawana uwezo wa kujenga mahusiano hivyo wanaamua kuishi peke yao, kama vile kulivyo na binadamu ambao ni wakimya na wengine ni wapayukaji!

Hivyo kukujibu swali lako ni uwezo mdogo wetu tu wa kufikiri yaani sisi WatanZania ni simple minds na hakuna kitu unaweza kufanya ni swala na vizazi na vazazi hivyo huko mbele watakuja kubadilika baada ya IQ kuongezeka kwa sababu ya lishe bora na vitu vingine, lkn kwa sasa inabidi tu uelewe hivyo kwamba tuna IQ ndogo na hakuna kitu utafanya na mtu asiyekujua atapoteza muda wake wote kukuhukumu kwa kitu hata asichokifaham
 
Lakini unakuwa hut.ombi au hutomb.wi?,kama unaweza kupata wa kumfanya hivyo au kukufanya kwanini usioe/usiolewe.
Hali hiyo ya kutotaka kuoa na kutot.omba ni ya mahanithi tu.
Kwa hiyo wewe unavyojua lengo au kuoa au kuolewa ni kuto. mba au kuto. mbwa, halafu unajiita una IQ kubwa?!!!
 
Kwa hiyo wewe unavyojua ni lazima kila mtu afuate mafundisho ya dini, au taratibu za kimila ndipo aishi?!

Halafu unajiita una IQ kubwa?!
inaonyesha huelewi nini maana ya neno imani,mwenye imani yeyote hawezi kuacha kuifuata kwasababu za kupumbavu kama zako.
Unaandika tu neno IQ wakati yakwakp no ndogo sana kiasi kwamba haionekani kwa macho(micro IQ).
Wanadamu duniani kote wanaishi kwa nadhalia mbili tu.
1)-Phylosophical Idealism(nadhalia ya woga),ambayo ndiyo imechukua sehemu kubwa ya watu,msingi wake mkubwa ni elimu ya dini(theology)kundi hili linaamino kuwa kuna maisha baada ya kifo,na ndiyo wakati wa hukumu,kulipwa kutokana na ukivyoishi.Katika hii dini ndimo tunapopata mafunzo namna ya kuishi kwa imani,kwahiyo wewe kama huna dini huwezi kuwa mwanachama wa hili kundi la wengi ni lazima uwe na kundi la wenzio mahanithi ambao munauficha uhanithi wenu,maana katika hili kundi hata hanithi asiyeficha ameelekezwa namna ya kuishi.
Hata asiyetaka kuoa kwa makusudi kama unavyotaka kutuaminisha wewe kuwa upo hivyo pia anayo maelekezo ambayo ni KUTOTAMANI,ambayo kwa rijali kama mimi ni ngumu,ndiyo maana tunaoa.
2)-PHYLOSOPHICAL MATERIALISM(nadharia ya uyakinifu)hii msingi mkubwa ni mali,watu wa kundi hili wengi waliasi imani,wao hawaamini kama kuna maisha baada ya kifo,hivyo kupata kukosa ni hapa hapa duniani.
Memba wa kundi hili hawachelei kufanya chochote,hata ikibidi kuua ili wapate mali au pesa kwao ni sawa. hawana misingi ya imani yoyote lakini bado wanaoa/wanaolewa.
wanachojua ni kuisho watakavyo tu na si atakavyo mungu,nakuona kama ulitaka kingia hapa lakini pia hawa wanaoa hata kimila tu.
 
Kwa hiyo wewe unavyojua lengo au kuoa au kuolewa ni kuto. mba au kuto. mbwa, halafu unajiita una IQ kubwa?!!!
kwanini usimuoe mwanaume mwenzie,utomb.e upate familia ujaze ulimwengu,na jaribu kuoa halafu usitomb.e uone kama hutajaza machotara kwako.
Na uoe ukiwa unajiweza.katika kusugua vuz
 
Kwa hiyo wewe unavyojua ni lazima kila mtu afuate mafundisho ya dini, au taratibu za kimila ndipo aishi?!

Halafu unajiita una IQ kubwa?!
wewe unafuata mafundisho ya nani kutooa,ya *******?
 
Kwa sababu sisi WatanZania ni kama watoto wadogo, yaani akili zetu na hii ni karibia wote tuishio hapa Bongo hazijakomaa, kwa kifupi tuna IQ ndogo hilo ndiyo jibu sahihi na ndiyo maana unaona tunapoteza muda kwenye mambo yasiyo na maana na yasiyotusaidia!

Kwa maana mtu mwenye IQ kubwa anaelewa kwamba kila binadamu yuko tofauti na haiwezekani wote tukawa sawa hivyo kuna watu ambao wanazaliwa na hawawezi kuishi na mtu yaani hawana uwezo wa kujenga mahusiano hivyo wanaamua kuishi peke yao, kama vile kulivyo na binadamu ambao ni wakimya na wengine ni wapayukaji!

Hivyo kukujibu swali lako ni uwezo mdogo wetu tu wa kufikiri yaani sisi WatanZania ni simple minds na hakuna kitu unaweza kufanya ni swala na vizazi na vazazi hivyo huko mbele watakuja kubadilika baada ya IQ kuongezeka kwa sababu ya lishe bora na vitu vingine, lkn kwa sasa inabidi tu uelewe hivyo kwamba tuna IQ ndogo na hakuna kitu utafanya na mtu asiyekujua atapoteza muda wake wote kukuhukumu kwa kitu hata asichokifahamu!
Nimeipenda hii kwamba IQ yetu ni ndogo na kwamba labda inaweza ikaongezeka huko mbeleni tukipata lishe bora...ha ha ha ha!
 
Usipojihusisha kwenye mahusiano lazma tukutilie Shaka huenda ukawa HANITHI kwani ni vigumu sana kwa Mwanaume rijali kuishi maisha ya useja uhai wake wote!!
sasa mkuu kwani uhanithi si ni tatizo kama matatizo mengine ya kiafya?
Ha ha ha,
 
Back
Top Bottom