Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 748
Kumekua na mitindo isiyofurahisha ya watu kuwa na maswali mengi endapo mtu ameamua kuishi single maisha yake yote, na hajaingia kwenye daraja la utawa. Wakati kwa wenzetu races zingine, ni kawaida kuna wengi nimewaona na heshima zao wameamua kubaki single.
Lakini maswali ya watu hua yanawakera sana.Na huwa wanayachukia sana.Je kuwa kwenye mahusiano ni jambo la lazima au ni utamaduni ambao lazima ufuatwe?Mfano hata kwenye siasa ni silaha ambayo hutumiwa sana na rivals. Why?