Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

Ndiyo maana tunamshinikiza Rais Samia aunde Tume hiyo ya Majaji, kwa kuwa siyo "fair" kwa nchi hii moja, baadhi ya watu waruhusiwe kutafuna mabilioni ya pesa, kama vile wapo "above law" wakati wananchi wengine wanasulubiwa na wamehukumiwa Mahakamani kwa wizi wa kuku tu!
Unajua ni nani alikuwa makamu wa rais wa wakati ule? Second in command?

Nani alikuwa waziri wa sheria?

Hili sometimes mnalisahau sijui kwa nini. Mama hawezi kufanya vitu ambavyo anajua hata yeye mwenyewe (au mtu wake wa karibu) anaweza kuwa implicated.

She is smart, calculated and a seasoned politician. Na mwanasiasa daima ni mwanasiasa tu!
 
Namtetea Mama kuhusika kwenye UHAYAWANI wa Magufuli akiwa Makamu wa Rais. Kwenye haya maovu Magufuli alikuwa na Serikali yake ya maovu ikihusisaha wafuatao: Makonda, Sabaya, Mnyeti, Dotto James, Kijazi, Mfugale.
 
Sheria bila kanuni itafanyaje kazi wewe mbumbumbu? Utakuwa mmoja wa wale waliofeli law school!

Bwana eeh wewe ndio utakuwa kilaza nakwambia tena sio kila Sheria imetungiwa kanuni .
Sasa basi wewe mweledi wa Sheria nitajie kanuni za The Law of Marriage Act .
Kuna Sheria nyingi tu zipo zimesimama kama Sheria na hazina kanuni zake.
Sheria za kuanzisha mashirika ya umma nazo hazina kanuni
 
Back
Top Bottom