Haaaa 😀😀😀😀 nacheka kama mazuri ila ndio maisha yenyeweUnajua Hakuna kitu kizuri Kama nidhamu na utii. Serikali haikuwa na upumbavu kukupa mtu pesa ya kujikumu. Ile NI pesa ya kula, nauli, stationaries, research na mambo mengine ya kusupport masomo. Sasa iweje iweje wewe uikosee adabu serikali uende ukawekeze kwenye mambo mengine? Unanidhamu kweli wewe? Hebu tuweni watii na nidhamu bila shuruti, ala!!!
boompesa, maana haelew au hakufika hukoSijui nikujibuje
Watu mna dharau!!!
Haya bwana. Kwa mimi niliyesoma kwa pesa ya mfukoni miezi 2 inakata bila bila.
Boom lenyewe linalozungumziwa ni 500k kwa miezi miwili..yaani 250k per month...
Tukiacha akili za kimaskini hii hela hata haitoshi kujikimu ili mwanafunzi a-excel vizuri kwenye mafunzo yake
Unajua Hakuna kitu kizuri Kama nidhamu na utii. Serikali haikuwa na upumbavu kukupa mtu pesa ya kujikumu. Ile NI pesa ya kula, nauli, stationaries, research na mambo mengine ya kusupport masomo. Sasa iweje iweje wewe uikosee adabu serikali uende ukawekeze kwenye mambo mengine? Unanidhamu kweli wewe? Hebu tuweni watii na nidhamu bila shuruti, ala!!!
Ndiyo maana nikahitaji waliofanikiwa watupe siri tuwafumbue wadogo zetu
Ahahaaa...ukitaka kuinvest kupitia pesa za boom lazima ujinyime na uishi maisha ya shida Sana chuoni,labda kwa wale wanaotokea familia zinazojiweza yaani utakuta mtu analipiwa ada na board asilimia mia lakini nyumban kwao kawaambia analipiwa asilimia sifuri...Sasa apo ile pesa anayopewa kwao ndo anaenda fanyia mambo yake.
Binafs nmejitaidi sana pesa yngu ya boom niitumbukize Kwenye biashara,duuh nmepoteza zaid ya laki tano Ila skukata tamaa kamkopo changu cha last yr nlichukua kiasi nkapeleka sehemu nkakisimamia angalau nmevuna matunda japo sio sana but ninapakujishkza kidogo...
Ila chuoni ukitaka uishi kwa kujibana na utunze pesa zako usifate mkumbo...yaani kama pamba nunua mitumba yako ile grade nzuri,kula simple achana na mambo ya restaurant sijui club, nunua simu simple tu achana na mambo ya stutas za juu...mwsho tafuta geto mkae wawili au watatu mnaoendana akili na malengo
Pesa ya kujikimu (boom). Kiukweli nilinunua PC, smartphone na kuchonga kitanda tu. Labda pesa kdgo kwa madogo home. Kiukweli Ile pesa haitoshi kuanzisha miradi ya maana Wala kujengea, labda wale ambao familia zao zinajiweza kiuchumi. Ila sisi wengine hilo boom ndo lakulipia Ada na direct cost, madogo home, vizinga kutoka kwa marafiki zetu wa kitaa.
Nimeanza mradi baada ya kumaliza chuo. Na umenicost kma 13m hiv.
Nawashauri wanavyuo Ile pesa waitumie tu kwa meals and accommodation shule ipite Salama wasijaze stress za bure tu biashara zikienda kombo.