Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,282
- 998
Wakuu habarini,
Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena.
Shida ni nini, au ni upinzani uliyoletwa na huyu kijana wa Tandale?
Ushauri: Clouds mmezidisha chuki dhidi ya wasanii na kila siku mnaanzisha migogoro isiyo na tija, ndiyo maana muziki wetu haukui kwa level ile. Na pia msipende kuingiza chuki binafsi.
Ona kinachowatokea!