Miaka yangu yote nliokulia kaskazini nilijifunza mengi
Ukabila upo na wanapendana kusapotiana
Undugu upo especially ukiwa unafahamiana na mtu fulani unashikwa mkono
Clouds ni redio nzuri ila tatizo lipo wamekumbatia ukanda sana yani 75% ya presenter ni kutoka chugga,
Wasanii wanao toka uko pia wanapewa airtime kubwa sana kuliko wengine mfano Whozu, Janjaro, weusi
Ukweli ni kuwa now jamaa ubunifu ni 0 mfano wamekuja na slogani ya Baba kasema # 100 yani kupiga nyimbo za bongo tu msimu huu wa grand finale yao sasa swali linakuja watapiga nyimbo za mahasimu wao?
Na kosa ninalo liona ni kua bifu la mtu limekua ni uhasama wa taasisi mfano millard ayo ukiacha mbali kua mfanyakazi wa CMG ila pia ana blog yake sioni mantick ya yeye kua anashindwa kusupport kazi za wengine kupitia blog yake kisa tu ni mfanyakazi mahala fulani.
Ila pia nliona kitu sikukipenda pale ambapo kina soudbrown wanamuita Moseiyobo idiamini wanasema amemtia mkosi aunt ezekiel mikosi mpk kunyang’anywa bar yake kiukweli jamaa waliongea maneno ya kanga sana sasa nkashindwa elewa bifu la mtu mwingine imekuaje limkost mwingine mpk kuzihakiwa
Mambo kama haya ndo yanafanya clouds ipoteze mvuto wake kwa sasa
Nimeona pia kuna kitu wanafanya mbagala na maeneo mengine usajili wa wasanii, kiingilio na mahala
Ila trust me najua apo kuna watu watachaguliwa maana ata comment ukurasa wa insta unaomba wcb wawepo je kama majority ikichagua unahisi watapewa nafasi?
Ila pia nimenotice kitu siku za karibuni baada ya King kiba kwenda press yake EATV jamaa kama wanambania ivi yani hawampi airtime ya kutosha kama before
Nauhakika ilo tamasha wasanii wake ni wale wale
Marioo, weusi, nandy, fid q,rostam,neddy, hamornize, mzee wa bwax, sholo mwamba, Jux, whozo, dogojanja, billnas hawa ni wasanii wao ata watu wachagueje hawa awawezi achwa.
Na hpa ndipo watu wanapowachoka coz hakuna jipya na ladha tofauti hawana