Degree yako inatambuliwa kimataifa? Kuna shirika moja linafanya kazi ya uajenti kutafuta madakta na manesi specialist kwenda kufanya kazi Scandivia. Hulipi malipo yoyote na hata tiketi ya safari na course ya lugha ya nchi unayokwenda unapewa free. Tatizo moja kubwa ni kuwa unatakiwa uwe umefanya kazi nchi za EU angalau kwa muda wa mwaka.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya
Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na canada
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu ni hatua gani za kupitia ili niweze pata na vitu gani ni vya muhimu
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
NB: Uzalendo naujua vizuri kabisa hivyo msinikumbushe
Watu wenye akili zilizofanyiwa manipulation with electroshock na LSD kama wewe hamkosekaniEndelea kupigwa na jua mtaani hayo mawazo yako yatayeyuka tuu taratibu
Toa mchango wako kwa mtoa mada kama Mimi nilivyofnya itamsaidia sana mtoa mada kuliko Kuja hapa empty headed na kuanza ku attack waliotoa mawazo yaoWatu wenye akili zilizofanyiwa manipulation with electroshock na LSD kama wewe hamkosekani
sawa Kubwa jingaToa mchango wako kwa mtoa mada kama Mimi nilivyofnya itamsaidia sana mtoa mada kuliko Kuja hapa empty headed na kuanza ku attack waliotoa mawazo yao
Hahaha nashukuru kwa kunielewasawa Kubwa jinga
Ulivyomalizia post yako umenichekesha mkuu...anyway Ile ww huna uzalendo ndo maana unatumia jina la beberuNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania