Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,937
- 7,923
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya
Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na canada
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu ni hatua gani za kupitia ili niweze pata na vitu gani ni vya muhimu
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
NB: Uzalendo naujua vizuri kabisa hivyo msinikumbushe