Ni kukosekana kwa mpango wa uzazi au ni ushirikina? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kukosekana kwa mpango wa uzazi au ni ushirikina?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 1, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 80,259
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Askari Polisi mwenye mavazi ya kiraia (kushoto) akionesha shuka iliyokutwa imezungushwa kwenye miili ya vichanga vilivyofukiwa kwenye shimo la taka eneo la Fera Msisiri B jirani na makaburi ya Mwananyamala Dar es Salaam. Kulia ni maofisa wa Polisi wakichukua vielelezo vya tukio hilo. (Picha na Robert Okanda).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 80,259
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikijiuliza sana hivi vifo vya vichanga ni ukosefu wa uzazi wa mpango kwa maana wazazi husika wanaona hawezi kuvilea au ni sehemu ya imani za kishirikina ndizo zinalifikisha taifa kwenye majanga ya namna hii?
   
 3. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inawezekena vifo hivyo vimetokea katika njia za kawaida tu kwa mapenzi ya Mungu, kinachonibore ni jinsi walivyoshindwa kuwapatia heshima yao ya kuwasitiri.
   
 4. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  very sad, dah
   
Loading...