Maiti za vitoto zaidi ya 10 zafukuliwa shimo moja

Nchi ya kubahatisha hii; who cares?. Utashangaa polisi wanajifanya busy na uchunguzi then baada ya siku wanaipotezea soo yote. Ingekuwa nchi za watu wanaojali uhai na thamani ya maisha wale wote waliohusika kwa kuanzia na mama wa watoto hawa wangejulikana within 10 hours. Kwanza wangechukua DNA ya watoto hao na kuhifadhi then wangeanza na ku-track wajawazito wote. Hiyo shuka waliofunikwa nayo ilikuwa ni kigezo tosha cha kujua ilipotoka. Ila sisi tumekalia blah blah blah. Na usikute mwisho wa siku kumaliza mambo tutahusisha watoto hawa na ushirikina then hapo kila mtu ataishia kuwa na hisia kuwa huwezi kumkamata mchawi kwa mbinu za kipolisi.

Hapa kuna mambo makuu mawili. Either Hospital ya mwananyamala kutakuwa na mchezo wa dili za kutoa mimba zilizokomaa au neonatal unit kama ina exists imefanya makosa na kusababisha vifo na hivyo kufanya cover up. This is masacre of innocent children who had the right to life as those killed them.
 
Jaman, hii imekaaje, hao innocent infants wazaz wao ni kina nani? Na hao health personnel siku hizi wameoza hawana maadili kbsa. Mwananyamala hosp wana la kujibu. Watoto kumi ni wengi mno lazma kuna secret behind. Hata kama ni njaa au umasikin hapana. So sad. MUNGU ATUBADILISHE, WATOTO WAPUMZIKE KWA AMANI.
 
Nchi ya kubahatisha hii; who cares?. Utashangaa polisi wanajifanya busy na uchunguzi then baada ya siku wanaipotezea soo yote. Ingekuwa nchi za watu wanaojali uhai na thamani ya maisha wale wote waliohusika kwa kuanzia na mama wa watoto hawa wangejulikana within 10 hours. Kwanza wangechukua DNA ya watoto hao na kuhifadhi then wangeanza na ku-track wajawazito wote. Hiyo shuka waliofunikwa nayo ilikuwa ni kigezo tosha cha kujua ilipotoka. Ila sisi tumekalia blah blah blah. Na usikute mwisho wa siku kumaliza mambo tutahusisha watoto hawa na ushirikina then hapo kila mtu ataishia kuwa na hisia kuwa huwezi kumkamata mchawi kwa mbinu za kipolisi.

Hapa kuna mambo makuu mawili. Either Hospital ya mwananyamala kutakuwa na mchezo wa dili za kutoa mimba zilizokomaa au neonatal unit kama ina exists imefanya makosa na kusababisha vifo na hivyo kufanya cover up. This is masacre of innocent children who had the right to life as those killed them.

Hospitali ya serikali kuwa na tabia ya kutoa mimba za dili! nafikiri hospitali za serikali ni waoga kwa mimba za dili. Kama wamekuwa wakifanya hivyo huenda arobaini yao imefika. Watoto kumi ni wengi ati!

Ajabu sasa hata kama arobaini imefika utashangaa wanaipotezea tu kiana. Jamani when will things ever be serious in this country? watu hawawajibishwi kabisa
 
MMM huu ulimwengu unaelekea wapi?????? kwa hakika hapo hakuna abortion yoyote, kuna kinachoendelea pale mwanamyamala, mganga mkuu akamatwe na kueleza, mama zao hao vichanga wako wapi??, watoto 11 ni wengi, baba zao wajitokeze na kuelezea umma kinagaubaga.
 
Kwa kweli inasikitisha! Mimi ninaelewa kuwa kichanga kikifariki wakati wa kujifungua, wazazi wanapewa maiti yao wakamzike! Hapo inamaana kuna mchezo mchafu hapo Mwananyamala wa kutoa mimba kubwa na kuzidestroy maiti. Arobaini ndiyo imefika, huyo waliyempa kazi ya kudestroy ndiyo kaenda kuvitupa kusikotakiwa. Na pia inamaanisha hao ni watoto waliotolewa matumboni mwa mama zao kwa siku moja. Nawauliza madaktari pesa haramu kama hiyo inalipa? Na wadada na wakaka kwa nini unafanya ngono zembe? Kwa nini utoe mimba? Si uzae tu, kama hutaki kulea mpeleke mtoto kwa masista! Inasikitisha, wengine kutwa kucha wanatafuta watoto, wengine wanatoa mimba, kazi kweli kweli
 
Mmmmm, hata hofu ya Mungu imeondoka katikati yetu.
Wanyama wanatuzidi kwa wema, kulinganisha na maovu tuyatendayo.
Hata nyoka akushambulii kama hujamchokoza.

Ole wetu, Mungu turehemu watoto wako.
 
Nchi ya kubahatisha hii; who cares?. Utashangaa polisi wanajifanya busy na uchunguzi then baada ya siku wanaipotezea soo yote. Ingekuwa nchi za watu wanaojali uhai na thamani ya maisha wale wote waliohusika kwa kuanzia na mama wa watoto hawa wangejulikana within 10 hours. Kwanza wangechukua DNA ya watoto hao na kuhifadhi then wangeanza na ku-track wajawazito wote. Hiyo shuka waliofunikwa nayo ilikuwa ni kigezo tosha cha kujua ilipotoka. Ila sisi tumekalia blah blah blah. Na usikute mwisho wa siku kumaliza mambo tutahusisha watoto hawa na ushirikina then hapo kila mtu ataishia kuwa na hisia kuwa huwezi kumkamata mchawi kwa mbinu za kipolisi.

Hapa kuna mambo makuu mawili. Either Hospital ya mwananyamala kutakuwa na mchezo wa dili za kutoa mimba zilizokomaa au neonatal unit kama ina exists imefanya makosa na kusababisha vifo na hivyo kufanya cover up. This is masacre of innocent children who had the right to life as those killed them.
Haya yote yanatokea kwa sababu petu kwanza hatujuwi mipaka kati ya HAKI NA SHERIA. Sheria zipo lakini Haki hazitekelezwi. Haki zinajulikana lakini Sheria zinatumika kuficha uovu. Hapa iwe ni kwa kutoa mimba, uzembe wa madaktari au kwa kuuwa kwa makusudi kwa sababu wanazozijua wao, yote haya ni makosa na wanaohusika wanapaswa kushitakiwa kama wauwaji.
 
Niliitazama ITV jana usiku na leo asbh, hivi kumbe vichanga ndo huwa vinafukiwa na si KUZIKWA eeh!!
 
Inawezekena vifo hivyo vimetokea katika njia za kawaida tu kwa mapenzi ya Mungu, kinachonibore ni jinsi walivyoshindwa kuwapatia heshima yao ya kuwasitiri.
 
Back
Top Bottom