Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,288
- 5,762
Binafsi mimi sijaona kitu cha ajabu hapo; sana sana ni mazingira ya kijijini hivyo watoto hawaelewi.
Ukiangalia kwa makini, utaona kuwa, hayo mazingira ni ya kijijini sana na watoto kama hao hawajawahi kuona silaha na pengine hiyo kofia imewavutia tu kama helmet ya pikipiki. Huyo anaonekana kama Askari wa Alshabab hivyo hana hata sare rasmi ambapo pengine kijijini imewahi kuonekana.
Hii haina tofauti na kiongozi wa polisi/jeshi mwenye cheo cha juu akiwa kijijini, watu hawafaham kuwa kuwekewa ngao na mkasi kwenye bega kuna maana gani; wao wanafikiri askari wote ni sawa na pengine yule aliye beba silaha huonekana ndiye boss.