Ni Kosa kumla mkeo mtarajiwa!!!!!!!!!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Mi nadhani sio kosa bana. Bora kuukamua mua kabla haujaukata!!!
 
Husomeki! Jaribu kudadavua, unamaanisha kumchapa mchumba?
 
Mademu wa siku hizi wamejichakachua so usipima kwanza unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia. Lol
 
Ni kumvunjia heshima na pia kujivunjia mwenyewe

Ukimthamini na kujitunza kabla ataamini u mwanaume unaejiheshimu na itanogesha mahali fulani
 
Loh!! sikubaliani na wewe kabisa!! siku hizi hata wao wenyewe wanapenda kuliwa kabla ya ndoa. Ila wapate uhakika kama unayaweza.
 
Mi nadhani sio kosa bana. Bora kuukamua mua kabla haujaukata!!!

Uzuri hata wao wanapenda kukamuliwa kabla ya ndoa.

Na wao hawataki kununuliwa na mteja wasiomjua!! Loh!
 
Utakuta wanasema bora kumjua mteja wangu kabla hajaninunua. Kama ana kisigara je!!!. Loh!
 
Unapomla kabla ya ndoa unapunguza hadhi ya ndoa yenyewe. Lengo la ndoa pia ni kuhalalisha kufanyana, kuna umuhimu gani tena wa ndoa wakati mmeshafanyana?.

Kama unataka kumuoa, subiri siku ya ndoa.
 
Sasa ni lipi bora niendelee kula nje hlf na yeye aliwe nje? Maana siku hizi kula hio kitu ni kama fashion.
 
Unapomla kabla ya ndoa unapunguza hadhi ya ndoa yenyewe. Lengo la ndoa pia ni kuhalalisha kufanyana, kuna umuhimu gani tena wa ndoa wakati mmeshafanyana?.

Kama unataka kumuoa, subiri siku ya ndoa.

we ukisubiri wenzio wanajibebea tu kama wamemuumba wao, ukijakumuoa unakutana na 'laundry' na 'ngorongoro kreta' walokutengenezea wenzio, si heri hiyo crater uitengeneze mwenyewe ujue moja tu!
 
Kuleta hoja halafu unaiacha hewani ni ukosefu wa akili
 
nani anataka kuolewa na wenye vipenseli so ni lazima umtest jamaa kwanza.
 
Mi nadhani sio kosa bana. Bora kuukamua mua kabla haujaukata!!!
Kuhesabu kama kitu ni kosa au siyo kosa itategemeana unatumia base ipi kujudge kosa hilo. Ukitumia vitabu vya dini ( Kiislam/Kikristo) ni kharamu kabisa kumgusa mwanamke au mchumba au kwa title yoyote ile kama si mkeo wa ndoa. Ila ukitumia katiba ya nchi siyo kosa maana utakuwa hujavunja kipengele chochote kile,
 
we ukisubiri wenzio wanajibebea tu kama wamemuumba wao, ukijakumuoa unakutana na 'laundry' na 'ngorongoro kreta' walokutengenezea wenzio, si heri hiyo crater uitengeneze mwenyewe ujue moja tu!

kumla kwako hakuwezi kuzuia wengine wasi mle. Kama ni wa kuliwa ataliwa tu.
 
Unapomla kabla ya ndoa unapunguza hadhi ya ndoa yenyewe. Lengo la ndoa pia ni kuhalalisha kufanyana, kuna umuhimu gani tena wa ndoa wakati mmeshafanyana?.

Kama unataka kumuoa, subiri siku ya ndoa.

Mkuu. Uko juu ya mstari. Nakubaliana na wewe. VIVA JF.
 
Back
Top Bottom