rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,131
- 4,620
Uchawi........mh! How do you know this?
Kupotea kwa baadhi ya nguo hasa ndani bila 7bu maalum kumfuma anakuwekea viungo vya ziada kwenye chakula wkt sio viungo halali nk...
Uchawi........mh! How do you know this?
Hayo maneno yoooote yamebebwa na sentesi hiyo yenye rangi nyekundu hapo na huenda hii ikawa sababu yangu ya kutomsamehe..........Uongo, tamaa,ushangingi,kulala nje ya mji (nyumbani) wake bila sababu ya msingi, uzinzi, urafiki wa kinafiki,kuacha kufuata kile nisichokitaka katika mwili wake mfano kuweka lipstick,kuona kama amekosea kuwa na wewe katika maisha yake,dharau,ujeuri na kukuona wewe kama kinyago yaani huwezi kuwa naye mbele za watu kila mara kukukandia mbele za watu na kutokuwa na subira katika shida
Nimekuwa nasikiliza kesi nyingi za wapenzi na wale walioko kwenye ndoa ambazo baadhi yake zimekuwa zikipelekea mahusiano baina yao kuvunjika. Sasa nikawa najiuliza hapa....hivi ni kosa gani ambalo mkeo/mumeo/mpenzi wako akifanya hutamsamehe au litapelekea mahusiano yenu kuvunjika?
Uzinzi
Kuna wengine wanataka kuexperience both gender if you know what I mean.....Mh huo ubasha awe anamfanyia nani sasa?
Una maana akikojoa nje ya nchi ?
Mf. Akikojoa Kenya au Rwanda, au niaje ?
Kama jibu ndiyo so mpenzi wako akiwa kenya ataishije awe anakuja mpaka Namanga anakojoa then anarudi Nairobi ?
Una maana akikojoa nje ya nchi ?
Mf. Akikojoa Kenya au Rwanda, au niaje ?
Kama jibu ndiyo so mpenzi wako akiwa kenya ataishije awe anakuja mpaka Namanga anakojoa then anarudi Nairobi ?
Najua unajua alichokusudia kusema lakini unauliza kizushi ili aseme mambo flan. Nakushauri mtu wangu kula ganzi! Messege delivered!
akitaka kunipa tigo! Mapenzi kwishney..!
Akijamba mbele za watu.
Nikigundua ananicheat.yan ni hakuna maelezo,tunavunja mkataba hapo hapo.